Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sifanyi utabiri na siombei , kwa muonekano wangu ninavyoona hali halisi anavoendesha biashara yake ya muziki . abadilishe kazidisha usanii mapicha picha tu video ni kufanana maudhui ya muziki wake ni yale yale , soon watu watachoka na ndio kuporomoka kwenyewe .Kwahiyo shida yako wewe ni kuona kutimia utabiri wa kuanguka tu; BASI!
Mimi nikiwa mmoja wao sijaelewa kabisaaaa!nmekusoma sana mkuu, kuna mtu alishawahi kuniambia kua mond ni vers "anaimba na anaimbwa" ommy ni bottm yeye anaimbwa tuu... naona kama kuna ukwel hapo... washamba hawawez elewa kamwe[emoji23] [emoji23]
umefunguliwa kaka tuliandamanaulipotea sana
Iyobo kafanikiwa kuolewa na huyo mbongo muvi makapiDua LA kuku hili unashindwa kumuombea yeye afanikiwe zaidi baadhi ya watanzagiza kama sie tupate ajira unabaki kuombea ashindwe wabongo bwana na kwa taarifa yako huyo harudi nyuma alianza na kina iyobo wamefanikiwa watakuja wengine na watafanikiwa kupitia yeye huyu sio msanii mbinafsi kama kamtu fulani
poa naja pm nina maswali kidogo sio unatujua sisi mashushushunashukuru sana mkuu shushushu Vip na wengineo kwa upendo wenu mbarikiwe sana [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Mkuu umejitaidi sana kudadavua ktk ili,kiukweli nakupongeza kama diamond angetoa fact kama izo zingetosha kabisa kua ni jibu kwa wanaozani ananunua,binafsi yangu siamini katika ilo sababu diamond kwa alipofikia sio wakubishana na ommy maana atashusha hadhi yake,namkubali diamond sana lakini sio mshabiki wake katika suala zima la mziki ila sipendi diamond ashuke kimziki wala kimaisha kwani mfano wakuigwa katika nchi yetuKwa akili ya kawaida ni wajinga tu wanaweza kuamini diamond ananunua viewers
Twende na facts
Diamond ana followers milioni 3 instagram ,
Youtube ana subscibers 422,320
Facebook ana followers milioni 1.5
Twitter ana followers 350,000
Mfono kwenye instagram akisema kuna nyimbo mpya imetoka nenda youtube , tuseme watu robo wameenda kutazama youtube maana yake ndani ya siku moja watu zaidi ya laki 500,000 wanaweza kutazama.
Akiweka nyimbo youtube wale subscibers 420,000 wanapata notifications maaana yake hao wote wanadondokea kwenye viewers.
Facebook na twitter nako hivo hivo
Ni akili ndogo tu ndo inaweza amini diamond ananunua views
Kwahiyo mkuu na Wewe ni mlengwa?hahahhah asikwambiee mtu ukiona mtu anamsema mwenzio kuhusiana na hiyo kitu ni kuwa 100%naye ni mlengwa
😀😀😀😀[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kumbe watu walishamtatua tayari Mkuu.
Kwa hiyo huyo dimpoz ndiyo anatumia ID ya jerry joshy!
Hata ay maisha yake ya mahusiano yako private but hajawah kuitwa shoga, kwann yeye hii skendo imtembeeKaamua kuweka maisha yake ya kimahusiano privately kwani lazma ajirecord bafuni analamba kwapa (Which is ulimbukeni) mwanaume wa ukweli huwezi kumuexpose mwanamke unahemushimu kiasi hicho tena mama watoto wako duh
Mbona wasanii wengi tu hatuwajui wapenzi wao
We sasa acha bangee mwana FA kafanyeje ?yaaan the list ni ndfu sema wachache ndo wajuawao alafu siku hizi wanapeana pass as wht mwana fa alivyofanya kwa ommy
Na wewe pia ni mlengwa maana umewasema wenziohahahhah asikwambiee mtu ukiona mtu anamsema mwenzio kuhusiana na hiyo kitu ni kuwa 100%naye ni mlengwa
Kinacho waponza ni pale wanapoanza game sasa wengine huanza na waara-bu wa town ......so sadNasikia wasanii wengi sana wanapumuliwa ata yule msanii mkubwa mwenye status kubwa apa mjini jerry joshy na yy et anapumuliwa cjui izo story za kweli
Zari na mumewe wana college kule na biashara nyingine, kuna uwezekano zari akawa raia was huko piaMkuu huwezi kumiliki Nyumba south Africa kama Huna uraia wa south Africa...kama Zari ana uraia basi nyumba ni ya Zari au kama Tiffah ana uraia basi nyumba ina jina la Tiffah ila haiwezi kuwa na jina la Naseeb kama unabisha mwambieni aweke Hati ya nyumba.
yeaaaaahKinacho waponza ni pale wanapoanza game sasa wengine huanza na waara-bu wa town ......so sad