jerry joshy
JF-Expert Member
- Jul 8, 2015
- 402
- 504
huwez kuelewaa mkuu ila niliyo yasma ni kuwa oomy anaimbaa tu ila mond anacheza na kuimbaSawa kabisa mkuu..
Sasa kuhusu uliyosema wewe hapo juu inakuwaje yan, mimi sijaelewa kabisa mkuu wale wale kivipi. Nielezee japo juu juu mimi nitakuelewa fresh kabisa