Baada ya WCB kutoa Wimbo: Ommy Dimpoz atao mapovu, Diamond amjibu

Kwahiyo shida yako wewe ni kuona kutimia utabiri wa kuanguka tu; BASI!
Sifanyi utabiri na siombei , kwa muonekano wangu ninavyoona hali halisi anavoendesha biashara yake ya muziki . abadilishe kazidisha usanii mapicha picha tu video ni kufanana maudhui ya muziki wake ni yale yale , soon watu watachoka na ndio kuporomoka kwenyewe .
Dimpoz hajakosea
 
Iyobo kafanikiwa kuolewa na huyo mbongo muvi makapi
 
Mkuu umejitaidi sana kudadavua ktk ili,kiukweli nakupongeza kama diamond angetoa fact kama izo zingetosha kabisa kua ni jibu kwa wanaozani ananunua,binafsi yangu siamini katika ilo sababu diamond kwa alipofikia sio wakubishana na ommy maana atashusha hadhi yake,namkubali diamond sana lakini sio mshabiki wake katika suala zima la mziki ila sipendi diamond ashuke kimziki wala kimaisha kwani mfano wakuigwa katika nchi yetu
 
Unawajua in and out?...dah huyo domoo anaharibu vijana
 
Eeeh Mungu okoa kizazi hiki maana sasa nishidaaaaa .....Ila wa michezo hio wote mnajuana na nimtandao mkubwa
 
Hata ay maisha yake ya mahusiano yako private but hajawah kuitwa shoga, kwann yeye hii skendo imtembee
 
Kwa mtu kama mimi niliye na uzoefu wa miaka 5+ nikiwa na YouTube channels zaidi ya Sita, wanavyodai mtu ananunua views 8M+ huwa nacheka sana.

Njia pekee ya kununua views YouTube ni through YouTube promotions kama wanavyofanya Coke Studio, Tigo, Vodacom Nk, Na ni gharama sanaa.
 
Nasikia wasanii wengi sana wanapumuliwa ata yule msanii mkubwa mwenye status kubwa apa mjini jerry joshy na yy et anapumuliwa cjui izo story za kweli
Kinacho waponza ni pale wanapoanza game sasa wengine huanza na waara-bu wa town ......so sad
 
Ndio shida kwamba mond aache kuimba mtasubili sana. Ameshawapita mbali kumkuta sio leo wala kesho
 
Zari na mumewe wana college kule na biashara nyingine, kuna uwezekano zari akawa raia was huko pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…