shushushu VIP
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 4,799
- 4,312
naona message yagoma kwenda nilitaka kukuuliza walivyokufungulia kwenye kifungo comment ulizochqngia jumla wamezifuta zote saa hz umeanza upya na una comment 21 au hii ni account mpyaKaribu shushushu vip
hahahah mwana fa ndo alimconect omy kwa yule boss shabiki yake number one yy hausiki na lolote ila anajuaaaWe sasa acha bangee mwana FA kafanyeje ?
Ulianza na suala la kutembea na wasanii wengi na uwepo wa Zari kama chanzo la anguko lake la mapema; lakini sasa umebadili gia angani na kuleta hoja za mapicha mapicha, mara usanii... hapo unaonesha wazi kwamba shida yako ni kuona anaanguka but kama ulivyoambiwa; THAT CAN'T HAPPEN manake wapiga ramli aina yako hamjaanza leo wala jana! Mwaka 2011 kuna jamaa mmoja ambae alijifanya yeye ndo kamfikisha Diamond alipokuwapo na kwahiyo hata mwaka asingemaliza!!! Akili kumkichwa... mwangalie Diamond wa 2011 na huyu wa 2016!!! Kitakachotokea kwake ni kile kile ambacho kinatokea kwa WASANII WOTE... hakuna anayebaki juu milele na ndio maana, hata Michael Jackson wa 1980's hakuwa yule wa 1990's na wa 1990's hakuwa yule wa 2000's!!!Sifanyi utabiri na siombei , kwa muonekano wangu ninavyoona hali halisi anavoendesha biashara yake ya muziki . abadilishe kazidisha usanii mapicha picha tu video ni kufanana maudhui ya muziki wake ni yale yale , soon watu watachoka na ndio kuporomoka kwenyewe .
Dimpoz hajakosea
kwa nini mkuu ?aiseee nimejisikia aibu sana
Kwahiyo ChoirMaster kuwadi?hahahah mwana fa ndo alimconect omy kwa yule boss shabiki yake number one yy hausiki na lolote ila anajuaaa
Mkuu tumeshajua tatizo kumbe ni Kupumuliwa..na sio kitu kingine![emoji38]..Youtube anawasingizia tu,sababu imeshajulikanaHUYU OMMY DIMPOZ HAJUI LOLOTE KUHUSU YOUTUBE.. MIMI NI MTENGENEZAJI WA YOUTUBE ADSENSE ACCOUNT NA NIMETENGENEZEA WASAII WAKUBWA NA BAADHI YA WATU MAARUFU.. IKO HIVI HATA SIKU MOJA HUWEZI KUNUNUA VIEWERS YOUTUBE KWA ACCOUNT YENYE MATANGAZO YA GOOGLE KAMA YA DIAMOND.. HICHO KITU HAKIPO NA HAIWEZEKANI.. NA UKIJARIBU KUFANYA HIVYO ACCOUNT YAKO YA YOTUBE ITAFUNGIWA MATANGAZO MARA MOJA.. UKINUNUA VIEWERS KWA ACCOUNT YENYE MATANGAZO YA GOOGLE NI KAMA UNATAKA KUWATAPELI ILI UPATE PESA NYINGI... NA KWENYE SYSTEM ZA GOOGLE NA ROBOTS ZITAFUNGA MATANGAZO YAKO MARA MOJA..
Mazagazaga; bora useme wewe!! Kwa sie amabao kazi zetu ni Digital Marketing tena na watu wanaofahamu hayo mambo IN OUT; tushajionea upuuzi wa madai ya Dimpoz! Na hata huko kununua Views sio kirahisi namna hiyo... kwamba eti unaweza kununua malaki ya views halafu Google wanakuangalia tu miaka yote hii!!! Lau kama angefahamu kwa angalau kwa mbali jinsi Google Adsense zinazovyofanya kazi; wala asingeongea!!!HUYU OMMY DIMPOZ HAJUI LOLOTE KUHUSU YOUTUBE.. MIMI NI MTENGENEZAJI WA YOUTUBE ADSENSE ACCOUNT NA NIMETENGENEZEA WASAII WAKUBWA NA BAADHI YA WATU MAARUFU.. IKO HIVI HATA SIKU MOJA HUWEZI KUNUNUA VIEWERS YOUTUBE KWA ACCOUNT YENYE MATANGAZO YA GOOGLE KAMA YA DIAMOND.. HICHO KITU HAKIPO NA HAIWEZEKANI.. NA UKIJARIBU KUFANYA HIVYO ACCOUNT YAKO YA YOTUBE ITAFUNGIWA MATANGAZO MARA MOJA.. UKINUNUA VIEWERS KWA ACCOUNT YENYE MATANGAZO YA GOOGLE NI KAMA UNATAKA KUWATAPELI ILI UPATE PESA NYINGI... NA KWENYE SYSTEM ZA GOOGLE NA ROBOTS ZITAFUNGA MATANGAZO YAKO MARA MOJA..
Acha uongo wako wewe....! We unafikiri kuongezeka kwa real estate development wawekezaji wanategemea raia peke yake? Halafu eti kama mnabissha mwambieni aweke hati... ili kuwaridhisha haters ambao awali walibisha hata hilo suala la kununua nyumba? Mkiwekewa; bado mtasema fake... sasa shida yote hiyo ya nini?!!!Mkuu huwezi kumiliki Nyumba south Africa kama Huna uraia wa south Africa...kama Zari ana uraia basi nyumba ni ya Zari au kama Tiffah ana uraia basi nyumba ina jina la Tiffah ila haiwezi kuwa na jina la Naseeb kama unabisha mwambieni aweke Hati ya nyumba.
KWELI MKUU HAWA WASANII WA TANZANIA HAWANA MAONO YOYOTE KILA KITU WANAFANYA KWA KUKURUPUKA... ACCOUNT YENYE MATANZAZO KAMA YA DIAMOND UKIJARIBU HUO UPUUZI GOOGLE WANAIBEBA MARA MOJA.. INAWEZEKANA HATA HUYU DIMPOZ ANA YOUTUBE ILA HAJASOMA TERMS AND CONDITIONS ZA YOUTUBE.. CHEKI HAPA CHINI HILO TANZAZO..Mazagazaga; bora useme wewe!! Kwa sie amabao kazi zetu ni Digital Marketing tena na watu wanaofahamu hayo mambo IN OUT; tushajionea upuuzi wa madai ya Dimpoz! Na hata huko kununua Views sio kirahisi namna hiyo... kwamba eti unaweza kununua malaki ya views halafu Google wanakuangalia tu miaka yote hii!!! Lau kama angefahamu kwa angalau kwa mbali jinsi Google Adsense zinazovyofanya kazi; wala asingeongea!!!
Wapo wanaopumuliwa lakini wanajiweza vile vile kwahiyo usisshangae kusikia mtu ana mke lakini anapumuliwa vile vile!!!Mtu ameoa, ana mke na watoto halafu anapumuliwa kivipi?..sasa huyo mkewe humo ndani ya nyumba anamfanya vipi?
I can see Mrs Kalisa kwa Comment.Hii baada ya domo na mavoko kuachia ngoma povu likamtoka ommy akimshushia domo kuwa aache mziki wa ujanja ujanja akimanisha kuwa domo aache tabia zake za kununua view, tunzo kuwa awekeze kwenye mziki mzuri usio na ujanja ujanja naye domo hakuwa mbali akamjibu kuwa nae apunguze tabia za kipunga
View attachment 438137
View attachment 438138
Kwani we upumuliwe!!ha haha kupumuliwa uwii
Unajua watu wanasikia sana stori za vijiweni kwamba unaweza kununua Views basi ndo wanadhani simple like kwenda kwa Hussein Pamba kali na kununua nguo!! Kwanza, kama kununua views wengi namna hiyo ni LAZIMA wawe Inorganic Views na sio Organic Views! Na kwa inorganic views; tena wengi kiasi hicho, huchukui hata 72 hours kabla Google hawajakupiga ban!!KWELI MKUU HAWA WASANII WA TANZANIA HAWANA MAONO YOYOTE KILA KITU WANAFANYA KWA KUKURUPUKA... ACCOUNT YENYE MATANZAZO KAMA YA DIAMOND UKIJARIBU HUO UPUUZI GOOGLE WANAIBEBA MARA MOJA.. INAWEZEKANA HATA HUYU DIMPOZ ANA YOUTUBE ILA HAJASOMA TERMS AND CONDITIONS ZA YOUTUBE.. CHEKI HAPA CHINI HILO TANZAZO..View attachment 438304
mmh ngoja nioneKwani we upumuliwe!!
Zari mume wake Diamond ama?Zari na mumewe wana college kule na biashara nyingine, kuna uwezekano zari akawa raia was huko pia