Baada ya WCB kutoa Wimbo: Ommy Dimpoz atao mapovu, Diamond amjibu

Baada ya WCB kutoa Wimbo: Ommy Dimpoz atao mapovu, Diamond amjibu

Mpumuaji na mpumuliwaji hahahaaahaa sasa mpumuaji kaamua amdhalishe mpumuliwaji hahahhaahhha. Ila mwimbo mbayaaaaaa video copy and paste. Ni wakati wa domo kurudi Nija kutafuta kolabo hahhaahahaa
 
HUYU OMMY DIMPOZ HAJUI LOLOTE KUHUSU YOUTUBE.. MIMI NI MTENGENEZAJI WA YOUTUBE ADSENSE ACCOUNT NA NIMETENGENEZEA WASAII WAKUBWA NA BAADHI YA WATU MAARUFU.. IKO HIVI HATA SIKU MOJA HUWEZI KUNUNUA VIEWERS YOUTUBE KWA ACCOUNT YENYE MATANGAZO YA GOOGLE KAMA YA DIAMOND.. HICHO KITU HAKIPO NA HAIWEZEKANI.. NA UKIJARIBU KUFANYA HIVYO ACCOUNT YAKO YA YOTUBE ITAFUNGIWA MATANGAZO MARA MOJA.. UKINUNUA VIEWERS KWA ACCOUNT YENYE MATANGAZO YA GOOGLE NI KAMA UNATAKA KUWATAPELI ILI UPATE PESA NYINGI... NA KWENYE SYSTEM ZA GOOGLE NA ROBOTS ZITAFUNGA MATANGAZO YAKO MARA MOJA..
MATANGAZO NINAYOYASEMA NI KAMA HILI HAPA CHINI.. ANGALIA...
tangazo.PNG
 
Sifanyi utabiri na siombei , kwa muonekano wangu ninavyoona hali halisi anavoendesha biashara yake ya muziki . abadilishe kazidisha usanii mapicha picha tu video ni kufanana maudhui ya muziki wake ni yale yale , soon watu watachoka na ndio kuporomoka kwenyewe .
Dimpoz hajakosea
Ulianza na suala la kutembea na wasanii wengi na uwepo wa Zari kama chanzo la anguko lake la mapema; lakini sasa umebadili gia angani na kuleta hoja za mapicha mapicha, mara usanii... hapo unaonesha wazi kwamba shida yako ni kuona anaanguka but kama ulivyoambiwa; THAT CAN'T HAPPEN manake wapiga ramli aina yako hamjaanza leo wala jana! Mwaka 2011 kuna jamaa mmoja ambae alijifanya yeye ndo kamfikisha Diamond alipokuwapo na kwahiyo hata mwaka asingemaliza!!! Akili kumkichwa... mwangalie Diamond wa 2011 na huyu wa 2016!!! Kitakachotokea kwake ni kile kile ambacho kinatokea kwa WASANII WOTE... hakuna anayebaki juu milele na ndio maana, hata Michael Jackson wa 1980's hakuwa yule wa 1990's na wa 1990's hakuwa yule wa 2000's!!!
 
Jina lenyewe ni DIMPOZ halafu POZI KWA POZI! Ommy acha huo uchafu mara moja na kumbuka hayo mambo hayana siri, tazama sasa uliodhani watakufichia siri leo wanakukanya hadharani.
 
HUYU OMMY DIMPOZ HAJUI LOLOTE KUHUSU YOUTUBE.. MIMI NI MTENGENEZAJI WA YOUTUBE ADSENSE ACCOUNT NA NIMETENGENEZEA WASAII WAKUBWA NA BAADHI YA WATU MAARUFU.. IKO HIVI HATA SIKU MOJA HUWEZI KUNUNUA VIEWERS YOUTUBE KWA ACCOUNT YENYE MATANGAZO YA GOOGLE KAMA YA DIAMOND.. HICHO KITU HAKIPO NA HAIWEZEKANI.. NA UKIJARIBU KUFANYA HIVYO ACCOUNT YAKO YA YOTUBE ITAFUNGIWA MATANGAZO MARA MOJA.. UKINUNUA VIEWERS KWA ACCOUNT YENYE MATANGAZO YA GOOGLE NI KAMA UNATAKA KUWATAPELI ILI UPATE PESA NYINGI... NA KWENYE SYSTEM ZA GOOGLE NA ROBOTS ZITAFUNGA MATANGAZO YAKO MARA MOJA..
Mkuu tumeshajua tatizo kumbe ni Kupumuliwa..na sio kitu kingine![emoji38]..Youtube anawasingizia tu,sababu imeshajulikana
 
HUYU OMMY DIMPOZ HAJUI LOLOTE KUHUSU YOUTUBE.. MIMI NI MTENGENEZAJI WA YOUTUBE ADSENSE ACCOUNT NA NIMETENGENEZEA WASAII WAKUBWA NA BAADHI YA WATU MAARUFU.. IKO HIVI HATA SIKU MOJA HUWEZI KUNUNUA VIEWERS YOUTUBE KWA ACCOUNT YENYE MATANGAZO YA GOOGLE KAMA YA DIAMOND.. HICHO KITU HAKIPO NA HAIWEZEKANI.. NA UKIJARIBU KUFANYA HIVYO ACCOUNT YAKO YA YOTUBE ITAFUNGIWA MATANGAZO MARA MOJA.. UKINUNUA VIEWERS KWA ACCOUNT YENYE MATANGAZO YA GOOGLE NI KAMA UNATAKA KUWATAPELI ILI UPATE PESA NYINGI... NA KWENYE SYSTEM ZA GOOGLE NA ROBOTS ZITAFUNGA MATANGAZO YAKO MARA MOJA..
Mazagazaga; bora useme wewe!! Kwa sie amabao kazi zetu ni Digital Marketing tena na watu wanaofahamu hayo mambo IN OUT; tushajionea upuuzi wa madai ya Dimpoz! Na hata huko kununua Views sio kirahisi namna hiyo... kwamba eti unaweza kununua malaki ya views halafu Google wanakuangalia tu miaka yote hii!!! Lau kama angefahamu kwa angalau kwa mbali jinsi Google Adsense zinazovyofanya kazi; wala asingeongea!!!
 
Mkuu huwezi kumiliki Nyumba south Africa kama Huna uraia wa south Africa...kama Zari ana uraia basi nyumba ni ya Zari au kama Tiffah ana uraia basi nyumba ina jina la Tiffah ila haiwezi kuwa na jina la Naseeb kama unabisha mwambieni aweke Hati ya nyumba.
Acha uongo wako wewe....! We unafikiri kuongezeka kwa real estate development wawekezaji wanategemea raia peke yake? Halafu eti kama mnabissha mwambieni aweke hati... ili kuwaridhisha haters ambao awali walibisha hata hilo suala la kununua nyumba? Mkiwekewa; bado mtasema fake... sasa shida yote hiyo ya nini?!!!
 
Mazagazaga; bora useme wewe!! Kwa sie amabao kazi zetu ni Digital Marketing tena na watu wanaofahamu hayo mambo IN OUT; tushajionea upuuzi wa madai ya Dimpoz! Na hata huko kununua Views sio kirahisi namna hiyo... kwamba eti unaweza kununua malaki ya views halafu Google wanakuangalia tu miaka yote hii!!! Lau kama angefahamu kwa angalau kwa mbali jinsi Google Adsense zinazovyofanya kazi; wala asingeongea!!!
KWELI MKUU HAWA WASANII WA TANZANIA HAWANA MAONO YOYOTE KILA KITU WANAFANYA KWA KUKURUPUKA... ACCOUNT YENYE MATANZAZO KAMA YA DIAMOND UKIJARIBU HUO UPUUZI GOOGLE WANAIBEBA MARA MOJA.. INAWEZEKANA HATA HUYU DIMPOZ ANA YOUTUBE ILA HAJASOMA TERMS AND CONDITIONS ZA YOUTUBE.. CHEKI HAPA CHINI HILO TANZAZO..
tangazo.PNG
 
Attachments

  • tangazo.PNG
    tangazo.PNG
    54 KB · Views: 30
  • tangazo.PNG
    tangazo.PNG
    54 KB · Views: 24
Hii baada ya domo na mavoko kuachia ngoma povu likamtoka ommy akimshushia domo kuwa aache mziki wa ujanja ujanja akimanisha kuwa domo aache tabia zake za kununua view, tunzo kuwa awekeze kwenye mziki mzuri usio na ujanja ujanja naye domo hakuwa mbali akamjibu kuwa nae apunguze tabia za kipunga

View attachment 438137
View attachment 438138
I can see Mrs Kalisa kwa Comment.
 
Hapa Ndipo walipo fikia Wasanii wetu wa Kiume, ni Mwendo wa Kupumulia na Kupumuliwa 🙄
 
KWELI MKUU HAWA WASANII WA TANZANIA HAWANA MAONO YOYOTE KILA KITU WANAFANYA KWA KUKURUPUKA... ACCOUNT YENYE MATANZAZO KAMA YA DIAMOND UKIJARIBU HUO UPUUZI GOOGLE WANAIBEBA MARA MOJA.. INAWEZEKANA HATA HUYU DIMPOZ ANA YOUTUBE ILA HAJASOMA TERMS AND CONDITIONS ZA YOUTUBE.. CHEKI HAPA CHINI HILO TANZAZO..View attachment 438304
Unajua watu wanasikia sana stori za vijiweni kwamba unaweza kununua Views basi ndo wanadhani simple like kwenda kwa Hussein Pamba kali na kununua nguo!! Kwanza, kama kununua views wengi namna hiyo ni LAZIMA wawe Inorganic Views na sio Organic Views! Na kwa inorganic views; tena wengi kiasi hicho, huchukui hata 72 hours kabla Google hawajakupiga ban!!
 
Back
Top Bottom