Baada ya WCB kutoa Wimbo: Ommy Dimpoz atao mapovu, Diamond amjibu

Vipi kununua viewers kwa account ambayo haina matangazo ya Google?
Kama videos zako hazina matangazo yoyote unaweza kununua viewers utakavyo na hiyo haiwezi kukusaidia chochote ni kama kujidanganya mwenyewe kwa kua utakuwa hupati faida yoyote zaidi ya watu kukusifiwa una viewers wengi, au company unayoitangazia ikiwa haina hizo softwares na robots za ku-detect fake traffic/viewers na kwa sasa si rahisi kwa company kukupa uwatangazie alafu wasiwe na mbinu ya kudhibiti ubora wa biashara yao zamani miaka ya 1990 ndio ilikua inawezekana ila kwa sasa technology imekua
 
diamond yuko clouds now,anasemma anamsitiri ommy.Ila kasema ommy alimpigia simu kumuomba msamaha ila hakupokea,kaongeza kuwa yeye mtoto wa kiislamu na ommy alizidi mipaka.
mytake:Ommy alizidije mipaka?au ndio kuomba kupumuliwa?
 
Kumbe Alikiba aliombwa wafanye show uwanja wa taifa ya Nani mkali ila jamaa kiba akakataa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jamani sikilizeni XXL mufaidi ubuyu[emoji39][emoji39][emoji39]
 
Wacha afunguke leo [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Laana ya ukoo au kabila
Kigoma
Manyema
Congo
Mpulungu
Au ni kitu gani nyie damu ya Congo mnaojiita ati mwatoka kigoma!!!!!!!!!!!!????????????
 
Nimeshamfata hadi Waziri January Makamba watusaidie kudhamini tufanye Nani Mkali lakini wao na uongozi wao wanakimbia [HASHTAG]#Diamond[/HASHTAG] [HASHTAG]#XXLCloudsFM[/HASHTAG]"
 
Hizi ngapi? Dead dreamer
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…