Baada ya WCB kutoa Wimbo: Ommy Dimpoz atao mapovu, Diamond amjibu

Baada ya WCB kutoa Wimbo: Ommy Dimpoz atao mapovu, Diamond amjibu

Wanajisifia wana sauti nzuri matokeo yake wanakauka makoo wakati show hawapati, nyimbo zao zinaishia chalinze [HASHTAG]#DiamondPlatnumz[/HASHTAG] [HASHTAG]#XXLCloudsFM[/HASHTAG]"
 
Kama mimi ni msanii wa ujanja mbona nafanya show popote duniani, wao wanatoa ngoma mbona zinaishia hapa hapa [HASHTAG]#DiamondPlatnumz[/HASHTAG] [HASHTAG]#XXLCloudsFM[/HASHTAG]"
 
Alichokifanya diamond sio sahihi ashindane kwa hoja sio matusii,angeonyesha kweli wao wcb awanunui views lakini kwa jibu la kumtukana tusi kubwa km ilo ni dalili za kupanic alafu kwa mtu km diamond akupaswa ajibu kitu kidogo kama icho ila angeonyesha kwamba shutuma anazotupiwa azina ukweli..
Wew nawe mfinyu kweli, Mond alipewa dodoso au aliropokewa? Dig deeper
 
Kama mimi ni msanii wa ujanja ujanja mbona nafanya nyimbo zinakwenda kimataifa na matamasha kimataifa yanajaa?- @diamondplatnumz [HASHTAG]#XXL[/HASHTAG]"
 
1479898415156.png
 
Msanii diamond platnumz na lebal yake ya WCB wamelipwa dola milioni 1 sawa na Tsh.bilioni 2 na campany ya Universal Music Group ili kusambaza nyimbo zao kote duniani kote.
Diamond asema ndo msanii pekee Tanzania na label yake wamelipa kodi milioni 35 TRA.
Amesema kulipa kodi ni jambo na wajibu wa kila mtanzania.
 
Acha uongo wako wewe....! We unafikiri kuongezeka kwa real estate development wawekezaji wanategemea raia peke yake? Halafu eti kama mnabissha mwambieni aweke hati... ili kuwaridhisha haters ambao awali walibisha hata hilo suala la kununua nyumba? Mkiwekewa; bado mtasema fake... sasa shida yote hiyo ya nini?!!!
Mkuu unasema kwa kuamua tu kubisha au unasema ukiwa na uhakika?

Nipo Cape Town huku mwaka wa 5 nina mke na watoto wawili na hiki ninachokwambia nina uhakika nacho.

Nipo hapa Nalipia nyumba kwa system ya rent and buy kwa jina la mtoto wangu.

Sasa kama umeamua kubisha sana ila kama unataka kujua naweza kukusaidia ujue.

kama una ndugu yako au jamaa wako huku unaweza kumuulizia kama utoniamini na hiyo haipo kwenye kununua nyumba ipo kwenye Kufungua account bank mpaka kwenye kupata licence ya gari na vikorokoro vingine kibao.

Wapo makini sana na swala na mgeni kupata haki zilizo sawa na mzawa

Asante.
 
Mkuu unasema kwa kuamua tu kubisha au unasema ukiwa na uhakika?

Nipo Cape Town huku mwaka wa 5 nina mke na watoto wawili na hiki ninachokwambia nina uhakika nacho.

Nipo hapa Nalipia nyumba kwa system ya rent and buy kwa jina la mtoto watu.

Sasa kama umeamua kubisha sana ila kama unataka kujua naweza kukusaidia ujue.

Asante.
Kuwa Cape Town haimaanishi kwamba unajua sheria za property za South Africa! Narudia; maelezo yako si kweli! Hata Foreigners wanaruhusiwa...! Kitu ambacho ni kigumu au hakiwezekani ni kwa foreigner kununua/kumiliki shamba lakini sio nyumba... SIO KWELI! Wakati wewe unaishi Cape Town jambo amabalo halitoshelezi kukufanya ufahamu sheria za property ownership, mimi naishi kwa kutumwa tumwa na watu wanaofanya hizo biashara na ninatumwa kama Online Real Estate Broker au Online Real Estate Lister. Kwahiyo naongea kitu ninachokijua!!!
 
diamond na team yake n wakorofi sn.... Ebu itizame vizur kokoro, kuna sehem video km inakata alafu diamond anauliza ATA KUWA SALAAM NINI!! mwingne ana mjibu MENDEZ HUYO... ili n dongo kw Ali kiba kwny ile issue ya Mombasa[emoji41] [emoji41] [emoji41]
 
Back
Top Bottom