DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
Wanajisifia wana sauti nzuri matokeo yake wanakauka makoo wakati show hawapati, nyimbo zao zinaishia chalinze [HASHTAG]#DiamondPlatnumz[/HASHTAG] [HASHTAG]#XXLCloudsFM[/HASHTAG]"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wew nawe mfinyu kweli, Mond alipewa dodoso au aliropokewa? Dig deeperAlichokifanya diamond sio sahihi ashindane kwa hoja sio matusii,angeonyesha kweli wao wcb awanunui views lakini kwa jibu la kumtukana tusi kubwa km ilo ni dalili za kupanic alafu kwa mtu km diamond akupaswa ajibu kitu kidogo kama icho ila angeonyesha kwamba shutuma anazotupiwa azina ukweli..
So na wewe ni mlengwa!? Maana unawasema watu hapahahahhah asikwambiee mtu ukiona mtu anamsema mwenzio kuhusiana na hiyo kitu ni kuwa 100%naye ni mlengwa
Basi nyumba ni Zari na Sio ya Naseeb.Zari na mumewe wana college kule na biashara nyingine, kuna uwezekano zari akawa raia was huko pia
Mkuu unasema kwa kuamua tu kubisha au unasema ukiwa na uhakika?Acha uongo wako wewe....! We unafikiri kuongezeka kwa real estate development wawekezaji wanategemea raia peke yake? Halafu eti kama mnabissha mwambieni aweke hati... ili kuwaridhisha haters ambao awali walibisha hata hilo suala la kununua nyumba? Mkiwekewa; bado mtasema fake... sasa shida yote hiyo ya nini?!!!
Nimecheka sana mkuu...umeongea kwa hisia kali,nani kakufanya usikie aibu?!aiseee nimejisikia aibu sana
Kuwa Cape Town haimaanishi kwamba unajua sheria za property za South Africa! Narudia; maelezo yako si kweli! Hata Foreigners wanaruhusiwa...! Kitu ambacho ni kigumu au hakiwezekani ni kwa foreigner kununua/kumiliki shamba lakini sio nyumba... SIO KWELI! Wakati wewe unaishi Cape Town jambo amabalo halitoshelezi kukufanya ufahamu sheria za property ownership, mimi naishi kwa kutumwa tumwa na watu wanaofanya hizo biashara na ninatumwa kama Online Real Estate Broker au Online Real Estate Lister. Kwahiyo naongea kitu ninachokijua!!!Mkuu unasema kwa kuamua tu kubisha au unasema ukiwa na uhakika?
Nipo Cape Town huku mwaka wa 5 nina mke na watoto wawili na hiki ninachokwambia nina uhakika nacho.
Nipo hapa Nalipia nyumba kwa system ya rent and buy kwa jina la mtoto watu.
Sasa kama umeamua kubisha sana ila kama unataka kujua naweza kukusaidia ujue.
Asante.
Labda kwa nyie ngumbaru.sema ya diamond imenoga[emoji7]
Amepanic.Wacha afunguke leo [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]