Baada ya WCB kutoa Wimbo: Ommy Dimpoz atao mapovu, Diamond amjibu

Baada ya WCB kutoa Wimbo: Ommy Dimpoz atao mapovu, Diamond amjibu

Screenshot_2016-11-22-17-39-12.png
Screenshot_2016-11-23-11-40-48.png
Screenshot_2016-11-23-11-42-08.png
ni mwendo wa kukoroga mavi kwa kutumia uume
 
Vipi kununua viewers kwa account ambayo haina matangazo ya Google?
Kama videos zako hazina matangazo yoyote unaweza kununua viewers utakavyo na hiyo haiwezi kukusaidia chochote ni kama kujidanganya mwenyewe kwa kua utakuwa hupati faida yoyote zaidi ya watu kukusifiwa una viewers wengi, au company unayoitangazia ikiwa haina hizo softwares na robots za ku-detect fake traffic/viewers na kwa sasa si rahisi kwa company kukupa uwatangazie alafu wasiwe na mbinu ya kudhibiti ubora wa biashara yao zamani miaka ya 1990 ndio ilikua inawezekana ila kwa sasa technology imekua
 
haina haja ya mond kumjibu vile oomy coz mond naye ni kama ommy ila mondi ni mwiba yaan anafanya both..................................................................................means anaimba na kucheza kama hujaelewa utajijua so afunge bakuli i know him in and out sema ommy yy kapitiliza na anafanya hiyo moja saana dats why watu wanajuaaa meaaaaaans anaimba tu hahahah.........
diamond yuko clouds now,anasemma anamsitiri ommy.Ila kasema ommy alimpigia simu kumuomba msamaha ila hakupokea,kaongeza kuwa yeye mtoto wa kiislamu na ommy alizidi mipaka.
mytake:Ommy alizidije mipaka?au ndio kuomba kupumuliwa?
 
Kumbe Alikiba aliombwa wafanye show uwanja wa taifa ya Nani mkali ila jamaa kiba akakataa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jamani sikilizeni XXL mufaidi ubuyu[emoji39][emoji39][emoji39]
 
Wacha afunguke leo [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Laana ya ukoo au kabila
Kigoma
Manyema
Congo
Mpulungu
Au ni kitu gani nyie damu ya Congo mnaojiita ati mwatoka kigoma!!!!!!!!!!!!????????????
 
Nimeshamfata hadi Waziri January Makamba watusaidie kudhamini tufanye Nani Mkali lakini wao na uongozi wao wanakimbia [HASHTAG]#Diamond[/HASHTAG] [HASHTAG]#XXLCloudsFM[/HASHTAG]"
 
sina ubaya na Mond ila naona kabisa anguko lake litakua baya vibaya sana,na hasa kwa wingi wa wafanyakazi alionao na matumizi kila mwezi aombee aendelee kubaki hapo hapo,

Zari kaliona hilo ndio maana kamuingiza king anunue nyumba south ambayo Zari ni kama mmiliki.
kwani akitikisika kidogo tu ndio kwa heri,wadhamni watavunja mikataba na hao wooote kina salam sijui babu tale sitanii hatawaona hata wakimkaribia .tupo hapa hapa na tutakuwepo hayo yakitokea
Hizi ngapi? Dead dreamer
 
Back
Top Bottom