Baada ya WCB kutoa Wimbo: Ommy Dimpoz atao mapovu, Diamond amjibu

Hiyo ni formality tu lakini reality ni kwamba wapo Watanzania wengi wenye uraia wa nchi mbili
Huo unakuwa wa ujanja ujanja sio wa halali mkuu Ila kisheria Tanzania hawaruhusu uraia wa nchi mbili na South Africa pia hawaruhusu uraia wa nchi mbili.

Na Diamond bado ajafikia vigezo vya kuwa raia wa South Afrika mkuu.
 
Tatizo Dimpoz alijifanya anataka kuununua ugomvi wa Kiba na Mondi yamemtokea puani.
 
na ww chige utaniw[emoji3] [emoji3] [emoji3] mwenzio kakutania ww unapiganakweli[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
We bhana acha uongo wako bhana.... nimeshakuambia hizo kazi nishafanya! Sasa kukata mzizi wa fitina wacha nikutafutie official docs
bongo mgeni kumiliki ardhi hairuhusiwi, ni vile tu hii nchi ilijaa rushwa sana ndio maana wageni wengi wanamiliki mahekalu baharini na huko masaki ila kisheria hairuhusiwi, ardh ya Tz inamilikiwa na wa tz, hata magu alieahi srma hili
 
mzaramo
Huna lolote... uongo wako umefika mwisho...! Kwanza jisikie aibu kuita blogs manake itakuwa unaonesha ama hujui haya mambo au umeamua tu kujibaraguza kwavile umeona uongo wako umewekwa wazi!!! Nimekuwekea ushahidi hadi wa docs za Wanasheria wa Real Estate! Nimekuwekea link ya Library of Congress; au hufahamu maana a ".gov" domain?

Narudia...wewe MUONGO! Na kama kweli ulikataliwa sio kwa sababu ni foreigner bali kuna sababu nyingine kabisa! Na moja ya sababu ni ama kwavile Watanzania hawaaminiki, au inawezekana ulitaka kwenda kununua kwenye non-commercial areas kwa sababu haiingii akilini raia wa kigeni akanunue nyumba Tandale; au sababu nyingine yoyote inayofanana na hiyo!

By the way, hakuna mwenye shida na hati zako! Lakini kwavile mimi nimetoa blog source; wewe weka basi sheria kutoka credible source! NAJUA, HAUTAIPATA HIYO SHERIA wala ushahidi! Na kwavile hauna, nakupigilia no nondo zingine:
South African Revenue Services nao hawa hapa:


Blog nyingine hiyo hapo tena ina domain ya serikali ya Afrika Kusini!!!! Ubalozi wa Afrika Kusini nchini Italia nao hawa hapa:



ACHA POROJO, au niseme ACHA UONGO, au labda, ACHA KUONGEA VITU USIVYOVIJUA
 
bongo mgeni kumiliki ardhi hairuhusiwi, ni vile tu hii nchi ilijaa rushwa sana ndio maana wageni wengi wanamiliki mahekalu baharini na huko masaki ila kisheria hairuhusiwi, ardh ya Tz inamilikiwa na wa tz, hata magu alieahi srma hili
Hata South Africa huruhusiwi! Lakini kuna tofauti kati ya kumiliki property na kumiliki ardhi! Nchi nyingi foreigner unaruhusiwa kununua mjengo lakini sio ardhi. Real Estaste imekaa kibiashara zaidi kuliko ardhi.
 
Hata South Africa huruhusiwi! Lakini kuna tofauti kati ya kumiliki property na kumiliki ardhi! Nchi nyingi foreigner unaruhusiwa kununua mjengo lakini sio ardhi. Real Estaste imekaa kibiashara zaidi kuliko ardhi.
Madam litah pia anamiliki mjengo huko, k-lynn, mwanvita nk
 
na ww chige utaniw[emoji3] [emoji3] [emoji3] mwenzio kakutania ww unapiganakweli[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Thubutu... jamaa anamaanisha (hata kama kwa kujiridhisha yeye) huyo hata kama inawezekana anafahamu ni muongo! Huyo ni wale wanaobadilisha magoli kila siku... wakati mechi inaanza, huyo ni wale waliokuwa wanasema jamaa anatafuta kiki; hana ubavu wa kununua nyumba; walivyokuja kukubali kwa shingo upande kwamba nyumba imenunuliwa; wakabadilisha magoli kwamba nyumba yenyewe bei rahisi; walivyoangalia kwenye akaunti zao benki hamna hata 20 M wakabadilisha magoli na kudai Mgeni haruhusiwi kununua nyumba SA kwahiyo itakuwa imeandikwa jina la Zari!
 




Wengine POWER BANK yani wana chaji na kuchajiwa pia
wameoa na wana watoto.

ME
SIJUI kama dimpo anabonyezwa kizenji ila ngoja niunganishe dots...mwarabu, gsm, picha za birthday. ..
Mwana fa ni mshkaji sana wa huyo gsm, na ndio alimuunganisha kwa dimpo ila mwana fa hana hizo mambo ila anajua tu jamaa anafanya
 
Madam litah pia anamiliki mjengo huko, k-lynn, mwanvita nk
Watu wenye pesa zao wengi sana wananunua nyumba SA! Na kutokana na ukaribu wa J'berg na Pretoria; unakuta Pretoria kuna utitiri wa nyumba zilizo sokoni na ndio maana hata bei yake unakuta affordable.
 
Mfyuuuuuu zao .[emoji81] [emoji81] [emoji115]
 
We nae,sasa unabishana na mimi ambaye nimewasha Notification On huko insta?!

Aliyeanza kupost ni Diamond,ndipo baada ya dakika kama ishirini kupita Ommy povu likamtoka
Haaaaha mastar wa Insta bwana utawajua tu,sawa mkuu ww naona huko insta ndio Lupita NyonG'o wao
 
Tatizo Dimpoz alijifanya anataka kuununua ugomvi wa Kiba na Mondi yamemtokea puani.
Kiba mwenzie anajua kucheza karata[emoji23][emoji23]... anachokoza kwa style,Sasa Ommy yeye amekuwa na haraka..mwisho imemgeukia mwenyewe...
 
Dimpoz kwa pozzz ha ha ha unakula tu ubooooy ooh sorry ubuyuuuuu
Yaani huruma..
Ila simlaumu sana Dimpozi kwa maana malezi aliyokulia yamesababisha hayo yote.

Ommy alipata kusema kwamba hamjui baba yake,ila aliambiwa tu na mama yake kwamba baba yake alikuwa dereva wa magari makubwa yaani malori ambayo yalikuwa yanafanya Transit nchi mbalimbali kutokea huko Tanzania..

Na mama yake alikuwa mtu wa kuzunguka sana kwahiyo Ommy amelelewa sana na mtaa kuliko wazazi..huenda kukosa uangalizi wa wazazi wake akajikuta anaangukia kwenye vitendo hivi vya kusikitisha!!Poor Ommy[emoji22]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…