cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 27,885
- 76,043
Ndio ommy anapumuliwa na nyumba kapangiwa na yule tajir wa GSMNimeona narudia mara sijui ngapi, ati Diamond anaongelea nini!!!?? Sitaki kufikiria kuwa Ommy ni nanihiiii OMG au?
Hawawez kugawana coz ommy anapumuliwa kweli, bas angeanza kwa ney wa mitego, idriss mbona aliwakalia kimyaNikiwa kama mwanaume rijali, nitukane matusi yote lakini ukinitukana kama hilo tusi alilotukanwa Ommy dimpoz(mapozi) tutagawana majengo ya serikali.
[emoji35] Pambavu
Ndio ommy anapumuliwa na nyumba kapangiwa na yule tajir wa GSM
Usinambie[emoji15][emoji15][emoji15]??!itakuwa ndiye aliyempelekaga Ibiza kipindi kile kuponda maraha!!maskini Ommy[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndio ommy anapumuliwa na nyumba kapangiwa na yule tajir wa GSM
Huo uzito wa hilo neno nmejaribu kulichukulia kwa upande wangu, ndo mana nkasema hvyoHawawez kugawana coz ommy anapumuliwa kweli, bas angeanza kwa ney wa mitego, idriss mbona aliwakalia kimya
Ndio yeye Mkuu yule mwarabu anamla ommy kama mke wa ndoa ana anamgaramikia kila kituUsinambie[emoji15][emoji15][emoji15]??!itakuwa ndiye aliyempelekaga Ibiza kipindi kile kuponda maraha!!maskini Ommy[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio yeye aliyempeleka na c unajua jamaa yuko vizuri, anampa ommy kila kituDuh niliona photoz za matanuzi nikafikiri anabeb kumbe
Angejua angenyamaza tu, aliyemfunza kutafuta kiki kupitia Diamond hawezi kumkomboa kwa hili.
Kwako unaliona Zito ila ommy anaona kama cheoHuo uzito wa hilo neno nmejaribu kulichukulia kwa upande wangu, ndo mana nkasema hvyo
Mungu uliye hai[emoji15][emoji15][emoji15]!!ndio maana kumbe akamfukuza Mubenga ndani kwake kisa bwana?!Ndio yeye Mkuu yule mwarabu anamla ommy kama mke wa ndoa ana anamgaramikia kila kitu
Ndio ana kaa peke yake, Yan leo d ndo kaongea ukweli mtupu, mwarabu ndo aliyemfanya awe na jeur kwa mubendaMungu uliye hai[emoji15][emoji15][emoji15]!!ndio maana kumbe akamfukuza Mubenga ndani kwake kisa bwana?!
Nasikia anakaa pekeyake kwenye huo mjumba,hata msaidizi wa kazi hana[emoji22]!!
Kumbe ni kwa hisani ya mwarabu?![emoji15]..mwe!mwe!mwe!
Wapi?Ndio ommy anapumuliwa na nyumba kapangiwa na yule tajir wa GSM
Acha umbea unajua nyumba ya south anamiliki nan?sina ubaya na Mond ila naona kabisa anguko lake litakua baya vibaya sana,na hasa kwa wingi wa wafanyakazi alionao na matumizi kila mwezi aombee aendelee kubaki hapo hapo,
Zari kaliona hilo ndio maana kamuingiza king anunue nyumba south ambayo Zari ni kama mmiliki.
kwani akitikisika kidogo tu ndio kwa heri,wadhamni watavunja mikataba na hao wooote kina salam sijui babu tale sitanii hatawaona hata wakimkaribia .tupo hapa hapa na tutakuwepo hayo yakitokea
Alichokifanya diamond sio sahihi ashindane kwa hoja sio matusii,angeonyesha kweli wao wcb awanunui views lakini kwa jibu la kumtukana tusi kubwa km ilo ni dalili za kupanic alafu kwa mtu km diamond akupaswa ajibu kitu kidogo kama icho ila angeonyesha kwamba shutuma anazotupiwa azina ukweli..
Mkuu,aliyeanza kupost ni Diamond..Ommy ndiye aliyejiingiza chaka akaanza kutoa povuAlichokifanya diamond sio sahihi ashindane kwa hoja sio matusii,angeonyesha kweli wao wcb awanunui views lakini kwa jibu la kumtukana tusi kubwa km ilo ni dalili za kupanic alafu kwa mtu km diamond akupaswa ajibu kitu kidogo kama icho ila angeonyesha kwamba shutuma anazotupiwa azina ukweli..