Baada ya WCB kutoa Wimbo: Ommy Dimpoz atao mapovu, Diamond amjibu

Usinambie[emoji15][emoji15][emoji15]??!itakuwa ndiye aliyempelekaga Ibiza kipindi kile kuponda maraha!!maskini Ommy[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23]
 
Heshima yako mkuu!!kauli kama hizo wenzio walizitoa na kuzitabiri miaka mitano iliyopita!!ila cha ajabu mpaka leo jamaa anazidi kuchanja mbuga
 
Yote tisa.....kumi [HASHTAG]#KAJIANDAE[/HASHTAG] is such a good song,kila kitu kuhusu ule wimbo compare na nyimbo walizotoa WCB hivi karibuni, na wimbo hauna matusi matusi lkn ni mzuri unaweza hata kutizama na watoto
 
Teh teh teh eti kakataa kumpumulia. Hii noma hii!
 
Kuna siku tutakuja kuyasikia ya mond nae na maudhaifu yake wacha gemu liendeleee kumchana mwenzio sio vzr kwa hiyo raynavy nae mkigombana utamchana kama ivyo japo kua ushapumua
 
Kuna siku tutakuja kuyasikia ya mond nae na maudhaifu yake wacha gemu liendeleee kumchana mwenzio sio vzr kwa hiyo raynavy nae mkigombana utamchana kama ivyo japo kua ushapumua
Mond kawavumilia xana sasa inatosha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwan yeye yesu awageuzie shavu LA pili[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [HASHTAG]#kapumuliwa[/HASHTAG]
 
Ommy kapanic maana anajua hii ngoma itaipita nyimbo yao kwa viwers soon uko youtube n km Diamond angekuwa ananunua viewers nahisi account yke ya youtube ingekuwa ishafungwa maana ile ni biashara ya watu.
Haya mabifu sio mazuri tunahitaji kuwa kitu kimoja km wenzetu wa nigeria mbona zamani ushindani ulikuwepo ila bila mabifu mabifu dully vs Tid, Mb dog vs Matonya, na
 
Hao vijana mbona wanamambo ya kike wajitume kufanya kazi nzuri hiyo mipasho yao inatuboa sana mashabiki wao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…