kamatembo
JF-Expert Member
- Sep 25, 2011
- 854
- 583
Mitano yote hio ya nn mkuu hata nusu yake pia mingituongeze mitano tu sio mbali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mitano yote hio ya nn mkuu hata nusu yake pia mingituongeze mitano tu sio mbali
Pia domo Ana mashabiki wengi sana east Africa sana sana Kenya, nMaa anapendwa sana, no ngumu kuamini ananunua viewwrsKwa akili ya kawaida ni wajinga tu wanaweza kuamini diamond ananunua viewers
Twende na facts
Diamond ana followers milioni 3 instagram ,
Youtube ana subscibers 422,320
Facebook ana followers milioni 1.5
Twitter ana followers 350,000
Mfono kwenye instagram akisema kuna nyimbo mpya imetoka nenda youtube , tuseme watu robo wameenda kutazama youtube maana yake ndani ya siku moja watu zaidi ya laki 500,000 wanaweza kutazama.
Akiweka nyimbo youtube wale subscibers 420,000 wanapata notifications maaana yake hao wote wanadondokea kwenye viewers.
Facebook na twitter nako hivo hivo
Ni akili ndogo tu ndo inaweza amini diamond ananunua views
Muziki umeoza sana, usiombe uyaone yanayoendelea nyuma ya pazia.Mziki wetu ndo ulipofikia hapa?
We nae,sasa unabishana na mimi ambaye nimewasha Notification On huko insta?!Sio kweli ukitizama post zao na aina za vijembe
Hivi hii inshu ya ommy kumbe ni ukweli anapuliwa aisee amefanya maamuzi magumu sana sanaNdio ommy anapumuliwa na nyumba kapangiwa na yule tajir wa GSM
Ila inawezeka anapumuliwa kweli mbona hii skendo imekuwa ina muda sasa na hatumuon na dem yeyote yuleKwa Akili ya kawaida tu sidhani kama kweli ommy anaopumuliwa kisogoni ila kwenye ugomvi wa kiume ukitaka u win kirahisi mwambie tu unapumuliwa kisogoni kwa sababu kwa mwanaume rijali lazma roho ikuume mana umeshushiwa hadhi yako, so diamond kaamua kumpausha kimtndo asa ukzngatia hasira
Hamna kitu, Diamond amepanicHivi hii inshu ya ommy kumbe ni ukweli anapuliwa aisee amefanya maamuzi magumu sana sana
Huo ndo ukweli hata nje ya east africa anamashabiki wengi sana , ukitaka kuamini ukisoma comments kwenye videos zake utaona kuna watu wa liberia, nigeria, cameroon, togo , zambia, zimbabwe, usa ha nchi za europe , tena wengine wanaandika kiarabu, kifaransa na lugha zingine.Pia domo Ana mashabiki wengi sana east Africa sana sana Kenya, nMaa anapendwa sana, no ngumu kuamini ananunua viewwrs
Haha ngoja team kiba wajemmmmh kwa hiyo ommy dimpoz anapumuliwa na kiba sahizi au ?
Sio kweli acha kukariri mtu kama diamond anatred africa nzima tena kuliko nyumbani.Wote mziki wao ni wa kawaida sio Domo, Kiba wala Ummy.
Washukuru media na unyumbu na chuki wa baadhi ya watz.
Ben Paul, Jux, Rama D kwangu naona ni bora kuliko hao watafuta kick.
Kila siku nasemaga humu ndani tatizo la Ommy ana vitabia vya kike kike snitch sana yule dogo,kuside kwake na kiba na wakina wema ni wazi kabisa una malengo hasi na WCB,si unakjmbuka kipindi kile yuko close na Chibu alikua ana msema vibaya Ali...leo kaanza urafiki na Kiba ameanza kuwasema vibaya WCB.dogo chok.o kweli huyu.Baada ya rich mavoko kuachia wimbo aliomshirikisha diamond ,
Msanii alie karibu na alikiba ommy dimpoz amaamua kurusha dongo kwa WCB huku akiamini WCB wananunua viewers
View attachment 438131
Hata hivyo kama mnavyojua Diamond na uswahili wake hakutaka kuacha lipite kimya kimya akaamua kumjibu ommy dimpoz kwa kutupia dongo
View attachment 438132
Alichokifanya diamond sio sahihi ashindane kwa hoja sio matusii,angeonyesha kweli wao wcb awanunui views lakini kwa jibu la kumtukana tusi kubwa km ilo ni dalili za kupanic alafu kwa mtu km diamond akupaswa ajibu kitu kidogo kama icho ila angeonyesha kwamba shutuma anazotupiwa azina ukweli..
Ni naniliiNimeona narudia mara sijui ngapi, ati Diamond anaongelea nini!!!?? Sitaki kufikiria kuwa Ommy ni nanihiiii OMG au?
ZariAcha umbea unajua nyumba ya south anamiliki nan?
Unapowaza hili wenzio wanawaza lile,kama anguko lake laja mwenzio keshajiandaa hakuna asset muhimu kama umiliki wa majengo. Diamond ni mjanja na anajua anachokifanya unless otherwise uwe ndo sponsorsina ubaya na Mond ila naona kabisa anguko lake litakua baya vibaya sana,na hasa kwa wingi wa wafanyakazi alionao na matumizi kila mwezi aombee aendelee kubaki hapo hapo,
Zari kaliona hilo ndio maana kamuingiza king anunue nyumba south ambayo Zari ni kama mmiliki.
kwani akitikisika kidogo tu ndio kwa heri,wadhamni watavunja mikataba na hao wooote kina salam sijui babu tale sitanii hatawaona hata wakimkaribia .tupo hapa hapa na tutakuwepo hayo yakitokea
Ingia page ya tzshaderoom angalia post ambayo ommy anasherehekea birthday na yule tajiri wa GSM utapata walau kitu fulaniKwa Akili ya kawaida tu sidhani kama kweli ommy anaopumuliwa kisogoni ila kwenye ugomvi wa kiume ukitaka u win kirahisi mwambie tu unapumuliwa kisogoni kwa sababu kwa mwanaume rijali lazma roho ikuume mana umeshushiwa hadhi yako, so diamond kaamua kumpausha kimtndo asa ukzngatia hasira