Baada ya WCB kutoa Wimbo: Ommy Dimpoz atao mapovu, Diamond amjibu

Umeongea fact,: youtube sio wajinga kiasi uwe unanunua viewers alafu waje wakulipe pesa na tuzo pia wakupe.
Hawa wanaopiga kelele za viewers ni wale wenye chuki na wivu mwenzao anavyofanikiwa
 
We nae,sasa unabishana na mimi ambaye nimewasha Notification On huko insta?!

Aliyeanza kupost ni Diamond,ndipo baada ya dakika kama ishirini kupita Ommy povu likamtoka
Sasa hapo mbona Diamond ndiyo anaonekana amepanic?
Anaogopa nini?
 
What if hao subscribers, followers n.k ndio hao hao. Kwa Mfano Mimi nipo naye instagram, tweeter, facebook, YouTube
 
Ndiomana sijawai kuona dimpo akia na demu hadharani kumbe anapumulia du huyu jmaa starehe ya dunia haijui kabisa
 
Alafu ney wa mitego Alishasemaga kua toka anamjua dimpoz hajawai kuona wala kusikia demu wake au hata tetesi kumbe anapumulia sipo nimenukuu jamani
 
Umeongea fact,: youtube sio wajinga kiasi uwe unanunua viewers alafu waje wakulipe pesa na tuzo pia wakupe.
Hawa wanaopiga kelele za viewers ni wale wenye chuki na wivu mwenzao anavyofanikiwa
Ukinunua viewers YouTube hawatakulipa thereafter, acha kulopokwa dogo. The same applies kwa wale wanaonunua tuzo hasa zile zinazoenda sambamba na $¥£€
 
Kama itakuwa dimpoz hapumuliwi halafu diamond kasema anapumuliwa ili apate kiki..kiuwanaume itakuwa sio fresh kabisa hasa kwa baadae. Kuna wasanii wengi walipata skendo hizi tukaambiwa na habari zilivuma sana ni mashoga kipindi hicho lakini sasa wameoa na wana watoto.
Mfano Mr blue, mzee yusuph, dully sykes, michael jackson etc.
 
Ukinunua viewers YouTube hawatakulipa thereafter, acha kulopokwa dogo. The same applies kwa wale wanaonunua tuzo hasa zile zinazoenda sambamba na $¥£€
Akinunua mjengo mnasema katoa wapi hela ila hela za kunnua view na tuzo anazo mbona wabongo ni wavivu sana jamaa ana hustle usiku na mchana lkn watu hamuoni juudi zake
 
Vipi povu la ommy lenyewe unalikubali et???
 
Ni lazima kuwa na demu? na hata akiwa na demu ni lazima kumtangaza?
Kaamua kuweka maisha yake ya kimahusiano privately kwani lazma ajirecord bafuni analamba kwapa (Which is ulimbukeni) mwanaume wa ukweli huwezi kumuexpose mwanamke unahemushimu kiasi hicho tena mama watoto wako duh

Mbona wasanii wengi tu hatuwajui wapenzi wao
 
What if hao subscribers, followers n.k ndio hao hao. Kwa Mfano Mimi nipo naye instagram, tweeter, facebook, YouTube
Swali zuri maana yake ni kwamba usipoona bandiko instagram basi utakutana nalo facebook au twitter
Ndio maana siku hizi diamond akitoa nyimbo za wasanii wake hatoi tangazo wala haendi redio kuutoa kwa mara ya kwanza, anaanzia mitandaoni , anachokifanya ni kuwashtukiza mashabiki na anafanikiwa kwasababu ana fan base kubwa mtandaoni.
Ukitaka kujua nguvu ya diamond mtandaoni muulize jah prayzah wa Zimbabwe au akothee wa kenya watakwambia
Amevunja record ya zimbabwe kwa nyimbo aliomshirikisha diamond , au diamond anawanunulia viewers hadi watu waliomshirikisha?
 
You nailed it
 
haina haja ya mond kumjibu vile oomy coz mond naye ni kama ommy ila mondi ni mwiba yaan anafanya both..................................................................................means anaimba na kucheza kama hujaelewa utajijua so afunge bakuli i know him in and out sema ommy yy kapitiliza na anafanya hiyo moja saana dats why watu wanajuaaa meaaaaaans anaimba tu hahahah.........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…