Baada ya WCB kutoa Wimbo: Ommy Dimpoz atao mapovu, Diamond amjibu

Baada ya WCB kutoa Wimbo: Ommy Dimpoz atao mapovu, Diamond amjibu

haina haja ya mond kumjibu vile oomy coz mond naye ni kama ommy ila mondi ni mwiba yaan anafanya both..................................................................................means anaimba na kucheza kama hujaelewa utajijua so afunge bakuli i know him in and out sema ommy yy kapitiliza na anafanya hiyo moja saana dats why watu wanajuaaa meaaaaaans anaimba tu hahahah.........
nmekusoma sana mkuu, kuna mtu alishawahi kuniambia kua mond ni vers "anaimba na anaimbwa" ommy ni bottm yeye anaimbwa tuu... naona kama kuna ukwel hapo... washamba hawawez elewa kamwe[emoji23] [emoji23]
 
mi co shabiki wa yeyote hapo... ila kama hiyo post ya diamond ni video basi diamond amekosa madirector... most of videos zake ni copy paste ya scene mbalimbali kwenye video za kina tyga, kama hiyo hapo ni ya lil wayne na vitu kama hivyo....
 
Kuna siku wafanyakaz wake walikuambia hawajalipwa mshahara? Ulitaka aajiri watu 2 wakata anauwezo wa kutoa ajira kwa watu kumi?...una mawazo ya kimasikini sana ndugu ila sikulaumu ndio waafrika tulivyo.
Labda alitaka hao vijana walioajiriwa wawe vibaka mtaani kama panya road.
Yaani mtu katoa ajira kwa vijana wenzie ambao hata elimu hawana mtu analalamika kweli?
Kweli nchii hii wagonjwa ni wengi
 
mi co shabiki wa yeyote hapo... ila kama hiyo post ya diamond ni video basi diamond amekosa madirector... most of videos zake ni copy paste ya scene mbalimbali kwenye video za kina tyga, kama hiyo hapo ni ya lil wayne na vitu kama hivyo....
Ndo vizuri anaiga vitu vya maendeleo sio wanaiga kupumuliwa na waliberali
 
Wamezoea kutafuta kiki kupitia Diamond, bora amejibu kwa kweli. Ila kwa jibu alilotoa, lazima mtu anakosa usingizi leo. Diamond anajua mengi yanayoendelea akisema na wengine sisi tunaamini 150%.

Iwe fundisho kwa wengine kuacha kutumia jina lake ili wapate viewers na kutafuta kuuza, omi unalo kumbe teh teh teeeeeeeh
Kwani yeye nani mpaka umwamini kila asemacho ni kweli????
 
Ommy dimpozi umekuja kujitetea leo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tafuta hata demu wa kuzugia mzee unaaibika[emoji23]kumbe malinda hun?!
 
Labda alitaka hao vijana walioajiriwa wawe vibaka mtaani kama panya road.
Yaani mtu katoa ajira kwa vijana wenzie ambao hata elimu hawana mtu analalamika kweli?
Kweli nchii hii wagonjwa ni wengi
Imagine, kwa akili za namna hyo tutaendelea kweli? Trump akituambia ukweli tunasema anatutukana...
 
Mlio nje ya Game wote hamjaelewa nini maana ya neno aliloandika Mond,maana yake apo ni Ile Ommy katoa nyimbo yake mpya den WCB hawajaipa Pumzi hio nyimbo yaani wao nao wametoa fasta ili kuizima umaarufu nyimbo ya Ommy
 
Ommy dimpozi umekuja kujitetea leo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tafuta hata demu wa kuzugia mzee unaaibika[emoji23]kumbe malinda hun?!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Kumbe watu walishamtatua tayari Mkuu.

Kwa hiyo huyo dimpoz ndiyo anatumia ID ya jerry joshy!
 
Kama itakuwa dimpoz hapumuliwi halafu diamond kasema anapumuliwa ili apate kiki..kiuwanaume itakuwa sio fresh kabisa hasa kwa baadae. Kuna wasanii wengi walipata skendo hizi tukaambiwa na habari zilivuma sana ni mashoga kipindi hicho lakini sasa wameoa na wana watoto.
Mfano Mr blue, mzee yusuph, dully sykes, michael jackson etc.
Kuna watu wanapumuliwa na wanaoa kuficha aibu zao.na kupumuliwa kunaendelea . hao wote ni wanamuziki ila haipendezi kulumbana lumbana.issue sijui nani alieanza ila diamond alitukanwa mno na yule kijana ambae walimkamata ommy dimpoz aka like yale matusi.
 
sina ubaya na Mond ila naona kabisa anguko lake litakua baya vibaya sana,na hasa kwa wingi wa wafanyakazi alionao na matumizi kila mwezi aombee aendelee kubaki hapo hapo,

Zari kaliona hilo ndio maana kamuingiza king anunue nyumba south ambayo Zari ni kama mmiliki.
kwani akitikisika kidogo tu ndio kwa heri,wadhamni watavunja mikataba na hao wooote kina salam sijui babu tale sitanii hatawaona hata wakimkaribia .tupo hapa hapa na tutakuwepo hayo yakitokea
Hayo yalishasrmwa xana ukiwekeza pesa nyingi utapata nyingi maradufu mondi hafanyi kitu hivhvi anatafuta watu wakumpa mipango pasipo kuogopa gharama ndicho kinachomfanya atusue
 
Kuna watu wanapumuliwa na wanaoa kuficha aibu zao.na kupumuliwa kunaendelea . hao wote ni wanamuziki ila haipendezi kulumbana lumbana.issue sijui nani alieanza ila diamond alitukanwa mno na yule kijana ambae walimkamata ommy dimpoz aka like yale matusi.
Mtu ameoa, ana mke na watoto halafu anapumuliwa kivipi?..sasa huyo mkewe humo ndani ya nyumba anamfanya vipi?
 
Inabidi domo aanmchane na maswala ya kuimba sasa maana pressure zimezidi awaachie madogo wake ndo wapige kazi......awe kama p didy mziki awe anafanya for fan
 
we unashangaa wasanii badala ya kuhangaa viongozi hebu wacha watu wale starehe maisha yenyewe mafupi
Kwa comment yako hii hata mtoto mdogo ambae tunasema uwezo wake wa reasoning ni mdogo hakika watu wakimuonesha atajua wewe ni mtu wa aina gani Mkuu.

Your comment proven beyond reasonable doubt that you're MCHICHA MWIBA.
 
Back
Top Bottom