Baada ya Wema kubwagwa, Diamond achafua hali ya hewa

Kweli chibu mtoto wa kiswazi aisee

Jojo ✔️✔️
Wema ✔️✔️
Who is next? Tusubiri Afrimma

Na bado watanyooka tu
 
Hahahaha Mondy bwana, mwenzake kakatwa alafu yeye anawashukuru wana singida teteteteh, naona Mondy analipiza machungu na yeye kukatwa na Kiba kwenye kKTMA.
 
Kusema Wema amekuwa wa mwisho ni kutomtendea haki na kuwa na chuki naye. Tuweke vizuri kwa lugha yenye staha na kumbukumbu nzuri kwa wajukuu zetu. Wema amekuwa wa nne kati ya wagombea wanne.

Hapana mkuu tuseme kura hazikutosha walikata😂😂😂
 
Mwaka huu ubunge umedhalilishwa sana.
Watu wengi wasio na sifa wamechukua form
 

Mkuu uko chemba ya wapi??mm niko counter apa...mkuu...nimefaa suti nyeusi mkuu
 
kama cha ZARI

Na wewe jiheshimu basi, mwanamke husiemjua anakuwashia nini? Unamwonea wivu hata mwanaume mwenzako duh utazani unaeajua hata sura yeye na mumewe Raisi Diamond.

Kama pesa na maendeleo kwani wewe umefungwa mikono? Na uzuri si ujivunie ubaya ulionao maana kuna watakao juona handisamu fulani.
 
Teh teh vote for Davido
✂✂✂✂✂✂✂✂✂✂✂✂📏 📏 📏 📏
 
Hahahaha Mondy bwana, mwenzake kakatwa alafu yeye anawashukuru wana singida teteteteh, naona Mondy analipiza machungu na yeye kukatwa na Kiba kwenye kKTMA.

Kiba alilipwa shilingi ngapi? Na Diamond alilipwa shilingi ngapi tena huko Singida?
 
Huyu ndomo mbona anaweweseka sana na ma exs wake? Mpaka anaboa yani nadhan kuna vitu anamis kutoka kwa wema na jokate sio bure, mtu huwez kumuongelea ex wako bila sababu za msingi

Chibu alishamove on, wote tunaona jinsi alivyopanda hata class yake ya mwaka mmoja uliopita na sasa ni kubwa hakunaga.

Ila kama amemua kuandika kitu kwanini asifurahie kukumbukia mashabiki wake wa Singida.

Mwanaume akimisi anatafuta, sasa hawa wazungu koko wametaka kuchokonoa mswahili na mswahili dawa moja toka kwake ni maneno na ndio hayooooo anayatoa.

Mimi nimefurahia sana maana watanyooka tu wote. Yaani kila kitu akifanya wengi ni ex's hapana ila mtu akikuingilia kazi inauma hata kama angekuwa mtu yoyote na kujitapa kwa hata kukutaja jina unakaaa unavumilia,

mswahili akipata mud nae hurusha makombola.

Hatataka kurudi nyuma, Nyota ya Chibu ilifunikwa na hao uliowataja hata mwendawazimu hawezi weweseka wala kuwarudia, Chibu ni never bora aende huko kwao alipowazoea ajipatie mke ila sio wanawake wapuuuzi kama hao wannaomisi mkenge wake na kuweweseka.
 

Ndo Umecomment Nini We Ngedere.? Husipende Kumtajataja "King" Kibwegebwege Kiasi Hicho.Heshima Ifuate Mkondo Wake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…