Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nligombeaga Hall representative chuo, NIKAKATWAAA jamani nililiaa kila MTU nilimuona mwangaaa....Sipati picha ana hali gani.
Kusema Wema amekuwa wa mwisho ni kutomtendea haki na kuwa na chuki naye. Tuweke vizuri kwa lugha yenye staha na kumbukumbu nzuri kwa wajukuu zetu. Wema amekuwa wa nne kati ya wagombea wanne.
Pole mwaya ila comment yako imenichekesha sana eti kila mtu mwanga
Watakatwaa Tuu..maana Hakuna Namna
Nionavyo mimi kiwango cha Elimu kimeshuka hasa ukizingatia sifa za walimu waliopo , miundo mbinu tuliyonayo na utekelezaji wa mipango tuipangayo kuhusu Elimu.
Kama vigezo vya kupanda kwa Elimu ni idadi ya wanaojiunga katika ngazi furani ya elimu basi Elimu ya Tanzania iko juu mno kulinganishana huko nyuma.
Angalia matokeo ya kidato cha nne kila mwaka tumekuwa na karibu asilimia 80 ya wanasemwa wamefaulu kuwa na daraja la nne.Daraja ambalo hata afanyeje labda ataenda ualimu kama ambavyo tumefanya miaka ya 90 na mwanzoni mwa mwaka 2000.
Madarasa yapo watoto hawasomi kwa kukosa walimu hiyo Elimu itapandaje, ili tendo la kujifunza liweze kufanyika ni lazima mwalimu awepo na mwanafunzi pamoja na mabo mengine kadha wa kadha wataalamu wa elimu wanaijua.
Tutaendelea siku nyingine.
Asante.
kama cha ZARI
Hahahaha Mondy bwana, mwenzake kakatwa alafu yeye anawashukuru wana singida teteteteh, naona Mondy analipiza machungu na yeye kukatwa na Kiba kwenye kKTMA.
Huyu ndomo mbona anaweweseka sana na ma exs wake? Mpaka anaboa yani nadhan kuna vitu anamis kutoka kwa wema na jokate sio bure, mtu huwez kumuongelea ex wako bila sababu za msingi
Tatizo tulilonalo watz kwa sasa ni watu kupenda fursa yoyote hata kama Hana uwezo ili mradi tu apige hela! Dawa Yao ni kuwanyoosha tu! Na huyo jokate, Kiba, Wema et. al watagulia one after another coz wana chuki mbaya and badly enough not yet matured! Diamond atafika mbali sana mpaka awe sababu Yao kukondeana kutokana na kirusi cha distructive competition ambacho Kiko ndani Yao.Mtanyooka tu!
JOKATE√√√
WEMA√√√
Wote hao washanyooka, who's next?