Baada ya Wema kubwagwa, Diamond achafua hali ya hewa

Nilitaka zote 7 ila hizo 6 zinatosha kingkiba umetisha in wema's voice...... Ngoja Mondi aongeeee

Hahahaaa walitaka Wema akishindwa Diamond aonyeshe kusikitika thubutuuu! Hapa za Uso tu Unafiki kwetu mwiko. Akina kadinda na Petite man watatusaidia kusikitika sie wengine watuache tugonge mvinyo kwa raha zetu!
 
kupeleka wakaa uchi bungeni ni kukizalilisha chama ninaimani na wananchi na ccm hawawez kuwa wajinga kupeleka watu wa ovyo mjengoni watatoa hoja gani mbele ya majembe kama lissu ata hao wakaauchi wenzie waliogombea hawapiti.
 

Kusema chibu anammiss Wema huko nako ni kujipa moyo tu! Angemmiss wangesharudiana siku nyingi! Kipindi kile wema anamtumia Msg chibu.
Labda tusepe wema ndo anamkumbuka Chibu maana kutwa alikuwa haeshi kumuongelea kwenye Her shoes. Teh teh. ...
 
Yaani mi ninafuraha isiyokifani kumbe sometime CCM huwa wanajitambua sio bora liende, eti watuwekee Mal............ bungeni khhhhhhhhhhhhhhhaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
daa mnaona rahaa wakati bila wema angekuwa muuza mitumba
 
daa mnaona rahaa wakati bila wema angekuwa muuza mitumba

Diamond kaanza kutoka kabla ata na kuwa na huyo Wema mkuu...diamond made himself to be diamond n not bcoz of wema,kwa jinsi wema anavoshoboka na mastaa unazani kipindi anauza iyo mitumba huyo diamond angemmega huyo wema kweli...angeazaje kwa mfano...wema kajiongeza baada ya kuona dogo ana muelekeo flani ivi...!
 
sasa kipindi anadate na wema alikuwa na pesa gani mkuu ???
 
sasa kipindi anadate na wema alikuwa na pesa gani mkuu ???

Nimekwambia alishaona dogo ana mwelekeo flani na sijasema dogo alikuwa ana pesa...hlf kingine wema anapenda mastaa no matter what...ata kipindi anagongwa na blue...blue alikuwa ana pesa mbuzi tu sema ustar wake ndo ulimfanya agonge wema.
 
Nimekwambia alishaona dogo ana mwelekeo flani na sijasema dogo alikuwa ana pesa...hlf kingine wema anapenda mastaa no matter what...ata kipindi anagongwa na blue...blue alikuwa ana pesa mbuzi tu sema ustar wake ndo ulimfanya agonge wema.
sawa uwe hakimu wa daimond katika kuishtaki management ya kiba kuwaibia nyimbo sawa maanaa unavyojua kujitetea
 
Show ya singida kiba hakwenda sababu ya ramadhan japo naye was officially invited.

Kuandika uongo unajisikiaje unajua hata iweje hana alichonacho Diamond Platnumz kuitwa.

Ramadhani mi mwezi mmoja mfungo mingine mbona haitwi? Badala ya kuandika points nzuri na sio uongo asome ajipaishe wewe ni mmoja wa wanaomdidimiza to the point anakuwa naye apati ya kumfikirisha mazuri.
 

Jiran hapa umenishika pabaya kwa kweli bia itakuwa chungu😭😭😭😭😭
 
Yani ni madume tu, sijui walijua atakuwa amevaa kimini wafaidi maungo?

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…