Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaa bora wapate kwa kupumzikia...KUKATWA si shughuli ndogooo.
Nilitaka zote 7 ila hizo 6 zinatosha kingkiba umetisha in wema's voice...... Ngoja Mondi aongeeee
Chibu alishamove on, wote tunaona jinsi alivyopanda hata class yake ya mwaka mmoja uliopita na sasa ni kubwa hakunaga.
Ila kama amemua kuandika kitu kwanini asifurahie kukumbukia mashabiki wake wa Singida.
Mwanaume akimisi anatafuta, sasa hawa wazungu koko wametaka kuchokonoa mswahili na mswahili dawa moja toka kwake ni maneno na ndio hayooooo anayatoa.
Mimi nimefurahia sana maana watanyooka tu wote. Yaani kila kitu akifanya wengi ni ex's hapana ila mtu akikuingilia kazi inauma hata kama angekuwa mtu yoyote na kujitapa kwa hata kukutaja jina unakaaa unavumilia,
mswahili akipata mud nae hurusha makombola.
Hatataka kurudi nyuma, Nyota ya Chibu ilifunikwa na hao uliowataja hata mwendawazimu hawezi weweseka wala kuwarudia, Chibu ni never bora aende huko kwao alipowazoea ajipatie mke ila sio wanawake wapuuuzi kama hao wannaomisi mkenge wake na kuweweseka.
Wema asishindane na mr icon
Haha haha nawe kwa vituko
daa mnaona rahaa wakati bila wema angekuwa muuza mitumba![]()
Nyota imegoma
sasa kipindi anadate na wema alikuwa na pesa gani mkuu ???Diamond kaanza kutoka kabla ata na kuwa na huyo Wema mkuu...diamond made himself to be diamond n not bcoz of wema,kwa jinsi wema anavoshoboka na mastaa unazani kipindi anauza iyo mitumba huyo diamond angemmega huyo wema kweli...angeazaje kwa mfano...wema kajiongeza baada ya kuona dogo ana muelekeo flani ivi...!
sasa kipindi anadate na wema alikuwa na pesa gani mkuu ???
sawa uwe hakimu wa daimond katika kuishtaki management ya kiba kuwaibia nyimbo sawa maanaa unavyojua kujiteteaNimekwambia alishaona dogo ana mwelekeo flani na sijasema dogo alikuwa ana pesa...hlf kingine wema anapenda mastaa no matter what...ata kipindi anagongwa na blue...blue alikuwa ana pesa mbuzi tu sema ustar wake ndo ulimfanya agonge wema.
Show ya singida kiba hakwenda sababu ya ramadhan japo naye was officially invited.
Unayajua matusi Mkuu hakuna tusi hapo.mimi siku zote huwa nasema Wema angekuwa anajitambua aiseee.. angekuwa na pesa mbaya Wema ni pesa yule ule umaarufu (umeanza kufa) ilikuwa ni pesa watu wanaomzunguka Wema hawajitambui Jina la Wema ni mgodi ningekuwa ndio meneja wake tungekuwa matajiri kwa jina lake jina la Wema ni biashara tosha asingeishi kwa kutegemea mabwana. Ila hapa nilipo nakunywa bia kusheherekea kukosa ubunge kwao maana hawajitambui karibuni koppa Cabana hapa tbt natoa ofa