Kitu ambacho watu wanashindwa kujua hapa ni kuwa haiwezekani kuwa mashabiki wa Diamond wakafurahishwa na kitu cha Wema na ni vigumu kuwalazimisha wampende Wema! Tunajua fika hata mashabiki wa Wema huwa hawaoni jema kutoka kwa Diamond na inaeleweka wazi haya mapokezi yaliandaliwa kujibu mapigo hata mtu akienda insta atakuta ninacho kisema!