Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Hata kama angekua baba ntilie, ilmradi anapata chake cha halali hakuna mbayadaa mnaona rahaa wakati bila wema angekuwa muuza mitumba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata kama angekua baba ntilie, ilmradi anapata chake cha halali hakuna mbayadaa mnaona rahaa wakati bila wema angekuwa muuza mitumba
Kitu ambacho watu wanashindwa kujua hapa ni kuwa haiwezekani kuwa mashabiki wa Diamond wakafurahishwa na kitu cha Wema na ni vigumu kuwalazimisha wampende Wema! Tunajua fika hata mashabiki wa Wema huwa hawaoni jema kutoka kwa Diamond na inaeleweka wazi haya mapokezi yaliandaliwa kujibu mapigo hata mtu akienda insta atakuta ninacho kisema!Hata kama angekua baba ntilie, ilmradi anapata chake cha halali hakuna mbaya
Mwenyewe Alighieri atawanyoosha ha ha haKitu ambacho watu wanashindwa kujua hapa ni kuwa haiwezekani kuwa mashabiki wa Diamond wakafurahishwa na kitu cha Wema na ni vigumu kuwalazimisha wampende Wema! Tunajua fika hata mashabiki wa Wema huwa hawaoni jema kutoka kwa Diamond na inaeleweka wazi haya mapokezi yaliandaliwa kujibu mapigo hata mtu akienda insta atakuta ninacho kisema!