Baada ya Wema kubwagwa, Diamond achafua hali ya hewa

Baada ya Wema kubwagwa, Diamond achafua hali ya hewa

Super Handsome

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2013
Posts
3,844
Reaction score
6,448
Ameyaoga matusi ipasavyo kama picha ijielezavyo!

1437760573248.jpg
 
naona wameandika kama vile leo ndio ametoa shukurani, na siku hizo alitoa shukurani nyingi sana kwa wana Singida.

Nafurahia anawakumbusha wana Kilimanjaro wasikose kufika kumuona leo akifanya show tamu tamu mpaka kieleweke

#watanyooka tu

msisahau kupiga kura tuzo za Nigeria Awards na Afrimma USA
sechi utazipata...Afrimma voti mara nyingi tu, ingine kila siku rudi
 
Ameyaoga matusi ipasavyo kama picha ijielezavyo!

Unayajua matusi Mkuu hakuna tusi hapo.mimi siku zote huwa nasema Wema angekuwa anajitambua aiseee.. angekuwa na pesa mbaya Wema ni pesa yule ule umaarufu (umeanza kufa) ilikuwa ni pesa watu wanaomzunguka Wema hawajitambui Jina la Wema ni mgodi ningekuwa ndio meneja wake tungekuwa matajiri kwa jina lake jina la Wema ni biashara tosha asingeishi kwa kutegemea mabwana. Ila hapa nilipo nakunywa bia kusheherekea kukosa ubunge kwao maana hawajitambui karibuni koppa Cabana hapa tbt natoa ofa
 
Hiv alidhan ubunge n mchezo wa kuigiza!?? kuwa sasa umefulia huna chanzo cha mapato unaamua kujitupia tu kwny ubunge!! kwel Kanumba kaondoka na ndoto za wengi. Nyota ya uigizaj imekufa kbsa, kabak na umaarufu bila shughuli ya kueleweka mjn.. Anyway kakosa ubunge akawahi udiwan kata km bdo hajachelewa..! Hatuhitaj wasanii bungeni
 
Back
Top Bottom