Super Handsome
JF-Expert Member
- Jul 16, 2013
- 3,844
- 6,448
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ameyaoga matusi ipasavyo kama picha ijielezavyo!
Hahahaaa bora wapate kwa kupumzikia...KUKATWA si shughuli ndogooo.
JOKATE√√√
WEMA√√√
Wote hao washanyooka, who's next?
Nilitaka zote 7 ila hizo 6 zinatosha kingkiba umetisha in wema's voice...... Ngoja Mondi aongeeee
Hahaaa watakatwa sana mpka wanyooke chibu anawawezea sana yani kichefuchefu mwaka mzima
the KING
Kweli malipo n hapa hapa duniani na what goes around comes around wema vipi ulitamani ziwe tuzo 7 c et 😀😀😀
Daa kusema ukweli nime muonea huruma daa siasa ina maumivu ya pekee tofauti na vitu vingine..mtu hufikiri amekataliwa na dunia....Haaaaa hii ndio mbaya kwake na yaliyomkuta Jojo last week,
Duh ila kukatwa kubaya jamani,