Baada ya Wema kuikacha party ya Idriss aomba msamaha kupitia mtandao wa instagram

Baada ya Wema kuikacha party ya Idriss aomba msamaha kupitia mtandao wa instagram

Ndo mastaa wetu walivyo wanaona wakitokea wanapromote sana kazi za wenzao bila malipo wakati malipo ni ushirikiano walionao.
Halafu angeomba msamaha kimya kimya maana kwenye event idriss alisema wema kapata safari ya dharura ila wema akaja kuharibu kusingizia fundi aliharibu nguo.
Kumbeee[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] daah!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wema Ana karoho ka kujiona yeye ndio kila kitu aabudiwe.
Miss drama queen. Mwili mkubwa akili hamna.
 
Huyu mwanamke nae ni kichwa maji..... mwili tembo ubongo nukta, anajulikana mji mzima hawezi kukosa nguo
No wonder kila project yake mjini inabuma ataishia kupiga picha na kupost insta huku wenzie akina Jokate wanasafiri dunia, wanafanya mambo ya kijamii na wanaaminiwa na watu wenye kuheshimika na potential.
 
Back
Top Bottom