Sijui ila hauruhusiwi kuvunja Sheria [emoji23][emoji23][emoji23]
BANNED
Naomba nikuige mkuu, usinishtaki lakini.
BANNED
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui ila hauruhusiwi kuvunja Sheria [emoji23][emoji23][emoji23]
BANNED
Shangaaa sasa. Watz wootee tunapenda umbeya t6pKama haikuhusu usingeifungua thread kihehere tu
Idriss atakua aliumia hatari yy alivyokua akiwajibika dahhhh. Wema labda kakatazwa na bwana ake wa sasa au hanaaapTrue what she did isn't fair at all
Idriss anajitoa sana kwa wema,mi nakataa kusema et nguo iliharibiwa!!wema ana dharau sana hapend kutokea kwenye event za watu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbeee[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] daah!!Ndo mastaa wetu walivyo wanaona wakitokea wanapromote sana kazi za wenzao bila malipo wakati malipo ni ushirikiano walionao.
Halafu angeomba msamaha kimya kimya maana kwenye event idriss alisema wema kapata safari ya dharura ila wema akaja kuharibu kusingizia fundi aliharibu nguo.
Mnafiki hana loloteHivi namba yake hana..si angempigia cm wakabembelezamna...au ndo tamthilia mpya inaanza ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Itakua kapigwa stop!!!na mshika dau!ila Dah kakosea sanaIdriss atakua aliumia hatari yy alivyokua akiwajibika dahhhh. Wema labda kakatazwa na bwana ake wa sasa au hanaaap
ndio nimerudi mkuu
ndomana hafiki popote...ubinafsj mbaya sanaAnapenda kutumia wenzake tu kwa maslah yake binafsi