Baada ya Wema kummwaga Diamond, Mama Wema afanya sherehe

Huyu mama hamjui mwanae aisee...sasa hivi atakuja aseme 'WHAT I NEED IN THIS LIFE IS ONLY MY BABY CHIBU" ngoja Ndomo acukuliwe utaona movie mpya

Ulijuaje? Ila sasa iv kapata danga la maana nasikia anajengewa mjengo wa maana uko boko, ni sheeda ndomo akaoge tu, aya team dengue waje kufuraia
 
Mimi sipendi kabisa wema awe na Dai,kwa hiyi nafurah kama wameachana kweli lakini sidhaniii kama wameachanaaa

WE unadhan ile bmw kapewa na nani, za ile safar ya china na dubai alipelekwa na nani?? Ebu usijifanye zumbu kuku ulimwengu uko uku, ata kama ndomo ni mpumbavu ila sio kwa kiasi hiki, yan girlfriend wako anapelekwa china na kununuliwa gar unyamaze tu ufuraie?
 

aha ha kweli angewalika ninyi ingenoga sana,sipati picha ingekuwaje!!!?
 
Last edited by a moderator:
Mama yake diamond nae sijui atafanya nini, maana mpaka futari aliandaliwa na wakaenda kufuturu Ramadhani iliyopita
 
Swali ambalo kila wakati nauliza lakini sijawahi kupewa majibu ni haya:
1. Hivi kama si Diamond, leo hii Wema angekuwa anatajwa tajwa kwa lipi?
----Kumbukumbu zangu zinanionesha kwamba, tangu aukwae u-miss 2006, Wema amekuwa kwenye midomo ya watu na mara nyingi haya yamekuwa yakitokana na mahusiano! Alitajwa tajwa sana wakati yupo na Kanumba... walipobwagana, Kanumba bado aliendelea kufahamika coz' alimkuta akiwa tayari star! Akatajwa tajwa sana wakati yupo na Mwinyi... walipobwagana, safari ya Mwinyi ikaishia hapo coz' walipokutana; Mwinyi hakuwa star kwahiyo kufahamika kwake kulichangiwa sana na Wema! Sasa anatajwa tajwa sana na Diamond... Wema alimkuta Diamond tayari akiwa star! Mara ya kwanza Wema alipomwagana na Diamond, Dangote akawa na JOkate kidogo kisha akawa na Penny!

INgawaje Penny na Jokate ni watu ambao wanafahamika sana hapa mjini, lakini walipokuwa na Diamond story zote zikahamia kwao! Kabla ya Diamond, sidhani ni mara ngapi kwa mwaka Penny alikuwa anajadiliwa humu jamvini... lakini alipoanza uhusiano na Diamond, mara kwa mara post za Penny zikawa hazikauki! Baada ya kumwagana, story za Penny hatuzioni tena... hali kadhalika hata story za Jokate nazo ni za ku-beep!

Hivi majuzi zikaja stori za Menninah... majority walikuwa hawamfahamu Menninah... kama alishapata kujadiliwa hapa jamvini basi ni kwa nadra sana! Lakini zilipokuja story za Meninnah na Diamond, ilikuwa haipiti wiki humu jamvini bila kuwapo story kuhusu Meninnah!

Haya sasa tujaribu kushughulisha bongo zetu! Hivi ni kweli katika mazingira kama hayo pasipo na Wema Diamond anafutika? Narudia, kama sio Diamond... assume Wema angekuwa na mtu asiye maarufu kwa muda mrefu; hivi Wema tungemtaja taja kwa jambo lipi? Ametoa movie ngapi mwaka huu? Ametoa movie ngapi mwaka jana? Tungemtaja taja kwa kipi?

Jambo moja sina shaka nalo! Hii couple ni couple inayopendwa na wengi... mashabiki wa Diamond wakagawanya mahaba yao na kwa Wema na mashabiki wa Wema wakafanya hivyo hivyo in favor of Diamond! Kilichotokea, ni Wema kushindwa kutumia opportunity hii! Wakati mwenzake ameweka kazi mbele mapenzi baadae, Wema akaweaka mapenzi mbele kazi mwaka wowote ule! Nashawishika kuamini kwamba, endapo wataachana jumla basi ni labda Wema awe anatoka na mtu maarufu otherwise, baada ya mwaka mmoja hatutakuwa na cha kuongea kuhusu Wema unless akumbuke kwamba ni sanaa ndiyo ilimweka kwenye ramani!
 
Wewe NasDaz unanicheka mimi na mahaba yangu kwa Kiba lakini hushangai wewe ya domo yanavyokupofua macho?
Hivi wema na diamond ni nani alianza kuwa star?diamond si lolote bila wema kumbuka mwaka juzi alivyojidai kuachana nae alifulia hadi akakosa tuzo kill music awards...hapo diamond ndiye anayemtumia wema kuendelea ku maintain status yake....
 
Last edited by a moderator:
Bora waachane tu,Ukiolewa na Diamond ni stress tupu,ukoo wote unamtegemea.asomeshe watoto wa esma,amlishe esma ,mama yake,ukiolewa na mtu wa hivi hutaifurahia ndoa.
 

Daimond hajawah kukosa tuzo za hapa home huo mwaka unaousema alipata tatu
Enhee kiba anazo ngapiii
 
Last edited by a moderator:
Bora waachane tu,Ukiolewa na Diamond ni stress tupu,ukoo wote unamtegemea.asomeshe watoto wa esma,amlishe esma ,mama yake,ukiolewa na mtu wa hivi hutaifurahia ndoa.

Hahahaa haaaa
 
daimond hajawah kukosa tuzo za hapa home huo mwaka unaousema alipata tatu
enhee kiba anazo ngapiii

sio tatu mbili au moja tena km sikosei msanii bora wa kiume wa mwaka ndo alichukua
tena hakuwepo ukumbini that day akasema nashangaa nimepataje msanii bora halafu nyingine zimeenda kwa wengine
 
daimond hajawah kukosa tuzo za hapa home huo mwaka unaousema alipata tatu
enhee kiba anazo ngapiii

sio tatu mbili au moja tena km sikosei msanii bora wa kiume wa mwaka ndo alichukua
tena hakuwepo ukumbini that day akasema nashangaa nimepataje msanii bora halafu nyingine zimeenda kwa wengine
na ommy alipata ndo aliongoza km sikosei
 
sio tatu mbili au moja tena km sikosei msanii bora wa kiume wa mwaka ndo alichukua
tena hakuwepo ukumbini that day akasema nashangaa nimepataje msanii bora halafu nyingine zimeenda kwa wengine
na ommy alipata ndo aliongoza km sikosei

Nope, alipata tatu
 
Ningekuwa domo ningemla mama na binti yake,mama yule anavutia pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…