Baada ya Wema kummwaga Diamond, Mama Wema afanya sherehe

Hhhhaaaaaaa ok nimekuelewaaaaaa
Hamna cha kuelewa wala nini... huyo geniveros katupiga fix na wewe ulikuwa right! Huyu nifah kasema Diamond hakupa kitu mwakajuzi na hiyo mwakajuzi ni 2012 ambayo mchizi alibeba tuzo tatu kama ulivyosema!
 
Last edited by a moderator:
Duh! geniveros unatupiga fix mchana kweupeeee.... hebu fuata hii link: Diamond ang'ara tuzo za Kili music awards 2012,anyakua tuzo tatu kwa mpigo. ~ JIACHIE . Moja ya nukuu kwenye hiyo link: Msanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya (Bongofleva) Nassib Abdul a.k.a Diamond usiku huu ameng’ara kwenye tuzo za Kilimanjaro Music Award 2012, baada ya kujinyakulia tuzo tatu.“Namshukuru Mungu, wakati mwingine uvumilivu na subira ni mzuri. Mwaka jana sikupata tuzo, nikamshukuru Mungu, nikaongeza bidii, nikafanya kazi nzuri, leo nimeibuka na tuzo tatu”,alisema.Tuzo hizo ni ( Mtunzi Bora wa nyimbo,tuzo ya video bora ya Mwaka –moyo wangu na tuzo ya Mtumbuizaji bora wa kiume." Haya, nifah... sema sasa-- unataka kusema wakati Diamond anasingizia kufa wakati hata kusingizia kuzimia hawezi ilikuwa 2011?

Nimeona nikubali tuu lakini najua dai alipokea tuzooo hizooooo
 
bora mung'unya linaharibika hata kama limekomaa. lakini huyu bimkubwa inaonekana ujanani ilikuwa khatari! sijui like mother like daughter!.
 
video ya mwaka gani
Duh! Hii ngoma unanikumbusha mbali sana mazei... ingawaje sikumbuki ni ya mwaka gani ila nadhani kama sio 2006 basi 2007 coz' nakumbuka hii ngoma kipindi hicho nilikuwa mahali ambako niliwepo hiyo miaka!!! Hii video angeniwekea nifah wallah tena leo ningenenepea kitandani!
 
Last edited by a moderator:
Duh! geniveros unatupiga fix mchana kweupeeee.... hebu fuata hii link: Diamond ang'ara tuzo za Kili music awards 2012,anyakua tuzo tatu kwa mpigo. ~ JIACHIE . Moja ya nukuu kwenye hiyo link: Msanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya (Bongofleva) Nassib Abdul a.k.a Diamond usiku huu ameng’ara kwenye tuzo za Kilimanjaro Music Award 2012, baada ya kujinyakulia tuzo tatu.“Namshukuru Mungu, wakati mwingine uvumilivu na subira ni mzuri. Mwaka jana sikupata tuzo, nikamshukuru Mungu, nikaongeza bidii, nikafanya kazi nzuri, leo nimeibuka na tuzo tatu”,alisema.Tuzo hizo ni ( Mtunzi Bora wa nyimbo,tuzo ya video bora ya Mwaka –moyo wangu na tuzo ya Mtumbuizaji bora wa kiume." Haya, nifah... sema sasa-- unataka kusema wakati Diamond anasingizia kufa wakati hata kusingizia kuzimia hawezi ilikuwa 2011?
rudia vizuri kusoma maandishi yako ndo utaelewa
maana mi sijaona fix zangu ziko wapi?!!
 
Fuata hiyo link kisha rejea ulichoandika... kwa haraka haraka tu, umedai hakupata tuzo tatu bali ni mbili au moja... kama utashindwa kufungua link, basi angalau soma hapo kwenye blue colored!
 
Hamna cha kuelewa wala nini... huyo geniveros katupiga fix na wewe ulikuwa right! Huyu nifah kasema Diamond hakupa kitu mwakajuzi na hiyo mwakajuzi ni 2012 ambayo mchizi alibeba tuzo tatu kama ulivyosema!

nimekupiga fix wapi?!!!
hebu tafuta bass na link zingine za miaka iliyopita ndo useme
mi sijataja mwaka staki but nakumbuka kuna mwaka hakwenda ukumbini ila akapewa tuzo akatamka hayo km sikosei au wenzetu tuzo mmeanzia2012?
sina haja ya fix kwa lipi labda by the way this is just funny only nothing serious okeey man
u have to relax!!
 
Last edited by a moderator:
Labda nimejichanganya....niambie 2013 alipata tuzo ngapi..
Seuze 2013 tena... kwani My Number One (original) ni ya mwaka gani? Sema kuna maneno inasemekana aliyaongea na baadhi ya watu wakam-mind! Inasemekana alisema kwamba ingawaje alishinda lakini hakuwahi kufanya kampeni ya kupigiwa kura sasa wadau wakaona ni kama anasema mashabiki wamejipendekeza kumpigia kura... hii kauli ndiyo nadhani aliyoichanganya geniveros kwamba ali-mind kuchaguliwa mwanamuziki bora wakati hakuna nyimbo yake iliyoshinda!
 
Last edited by a moderator:
Fuata hiyo link kisha rejea ulichoandika... kwa haraka haraka tu, umedai hakupata tuzo tatu bali ni mbili au moja... kama utashindwa kufungua link, basi angalau soma hapo kwenye blue colored!

ktk maandishi yangu ya mwanzo kuna nlipotaja mwaka?
labda upitie mi nimesema hivi kuna mwaka hakuhudhuria ila alipata tunzo ya msanii bora wa kiume
au ulikua boarding?
maana isije kua naongea na form four wa2011 hapa hawaelewi chochote
 
Seuze 2013 tena... kwani My Number One (original) ni ya mwaka gani? Sema kuna maneno inasemekana aliyaongea na baadhi ya watu wakam-mind! Inasemekana alisema kwamba ingawaje alishinda lakini hakuwahi kufanya kampeni ya kupigiwa kura sasa wadau wakaona ni kama anasema mashabiki wamejipendekeza kumpigia kura... hii kauli ndiyo nadhani aliyoichanganya geniveros kwamba ali-mind kuchaguliwa mwanamuziki bora wakati hakuna nyimbo yake iliyoshinda!

asante sasa umenielewa unajua ilikua mwaka gani?!!
so fix zangu ziko wapi?sasa@NasDaz?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom