Baada ya Wema kummwaga Diamond, Mama Wema afanya sherehe

Baada ya Wema kummwaga Diamond, Mama Wema afanya sherehe

Wema ---- tuu hana jipya kila kona anatumika kama kondom kwenye dangulo ...mikashifa kibao mbwa yule
 
asante sasa umenielewa unajua ilikua mwaka gani?!!
so fix zangu ziko wapi?sasa@NasDaz?
MI nadhani tunataka kuleta ligi isiyo na faida yoyote! nifah alitaja mwaka juzi... Dinazarde akasema mwaka juzi Diamond alipata tuzo tatu (na ni kweli)... wewe ukam-quote Dina na kusema sio tatu bali ni mbili au moja na kudai kwamba Diamond ali-mind! Sasa ikiwa Dinazarde alitaja tuzo za mwaka 2012 na wewe ukam-quote hapo anapozungumzia tuzo za 2012, huoni kwamba by default na wewe ulikuwa unazungumzia tuzo za mwaka 2012?
 
Last edited by a moderator:

jibu swali unakumbuka mwaka gani?!!
 
Last edited by a moderator:
Hhhhhhaaaaaaaaaaaaaaaa raha jipe mwenyeweee
Raha upewe ndo utaijua raha... raha ya kujipa mwenyewe si raha bali ni karaha... na ndio maana kuna kulala na kulalwa... wa kulala anajipa raha na huyo mwingine anapewa raha!
 
Raha upewe ndo utaijua raha... raha ya kujipa mwenyewe si raha bali ni karaha... na ndio maana kuna kulala na kulalwa... wa kulala anajipa raha na huyo mwingine anapewa raha!

Hayaaaa weeeee inatoshaaa
 
Duh! Hii ngoma unanikumbusha mbali sana mazei... ingawaje sikumbuki ni ya mwaka gani ila nadhani kama sio 2006 basi 2007 coz' nakumbuka hii ngoma kipindi hicho nilikuwa mahali ambako niliwepo hiyo miaka!!! Hii video angeniwekea nifah wallah tena leo ningenenepea kitandani!

Hi ngoma ilikuwa inabamba sana enzi hizo mpaka Leo nikisikiliza naikubali
 
Last edited by a moderator:
Wewe mwenye gazeti hapo juu nadhani ungeuliza wakati wema miss tz dangote alikuwa anosha vyombo tandale wema kamchukua dangote akiwa apeche alulu na ka wimbo kake kamooja tatizo tandale safi sana wema mapenzi peleka kwa wahindi piga kazi mama hata mimi nakusapoti mkataviuno akaoe penny
 
Wema anamjua nani Africa?? Huyo mkata mauno bank a/c yake ina pesa ambayo wapiga kelele wengi wa haya majukwaa ya chini hawatakaa wawe nayo.. The dude works hard to make his living lakini nashangaa anavyokandiwa humu.. Wewe na kelele zako humu ushawai pewa zawadi gani kubwa hapa duniani (ulishawai kuota umepewa hata vits na bebe wako?), umeshawahi kumiliki Prado zaidi ya kudandia ya mzee wa jirani uwahi kufika kazini kwako?? Wakati huo mwenzako amelala jana yake a/c ishadebit mill 20.

Wema kampa nini kikubwa diamond?? Anamwandikia mistari au alishawahi kumlipia record fee?? Wema ndio anamfanya diamond ajulikane Africa pia?? Wema ndie aliyefanya BET wakamweka kwenye nominations?? Wema anampa nini diamond zaidi ya papuchi??

Ukweli ni kwamba watu wengi humu on their late 30's hawana maisha yoyote na inaonekana walishapania sana wakizidaka watusumbue hapa mjini. Mipango imebounce sasa wanaanza kuchukia wengine, jamani maisha yakikushinda kufa nayo mwenyewe kifuani mwako usiwaseme watu kwa ubaya..

Honestly simchukii wala simpendi ndomo..
 
Jamani ni kweli mama wemaamejiweka kihasara hasara hadi kunakuwa na ukakasi linapokuja swala la kumheshimu ila ndugu zangu tumsitiri tu km mzazi. Tumpe heshima yake tusimuingize kwenye dhihaka km ambavyo tungependa mama zetu waheshimiwe hata km hawajiheshimu
 
Ukimuuliza Babu Tale atakuambia hii nayo Kiki kwa Nassib.
Ova
 
Bora waachane tu,Ukiolewa na Diamond ni stress tupu,ukoo wote unamtegemea.asomeshe watoto wa esma,amlishe esma ,mama yake,ukiolewa na mtu wa hivi hutaifurahia ndoa.

Wewe nawe si Mke lol
 
Back
Top Bottom