Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu mama hamjui mwanae aisee...sasa hivi atakuja aseme 'WHAT I NEED IN THIS LIFE IS ONLY MY BABY CHIBU" ngoja Ndomo acukuliwe utaona movie mpya
Mimi sipendi kabisa wema awe na Dai,kwa hiyi nafurah kama wameachana kweli lakini sidhaniii kama wameachanaaa
Wacha movie iendelee, hivi season ya ngapi sasa hivi
Kanichekesha kweli, eti ndomo mahali aipeleke kwa kina penny, dah hili tusi kubwa sana, pesa ni shetani, chezeya BMW x6 weye?? Mama wema ungetualika mimi na Dinazarde tuje kusheherekea wote maana ni shidaa au fanya uirudie party hiyo ndomo atajiju hatakiwi
Wewe NasDaz unanicheka mimi na mahaba yangu kwa Kiba lakini hushangai wewe ya domo yanavyokupofua macho?
Hivi wema na diamond ni nani alianza kuwa star?diamond si lolote bila wema kumbuka mwaka juzi alivyojidai kuachana nae alifulia hadi akakosa tuzo kill music awards...hapo diamond ndiye anayemtumia wema kuendelea ku maintain status yake....
Bora waachane tu,Ukiolewa na Diamond ni stress tupu,ukoo wote unamtegemea.asomeshe watoto wa esma,amlishe esma ,mama yake,ukiolewa na mtu wa hivi hutaifurahia ndoa.
daimond hajawah kukosa tuzo za hapa home huo mwaka unaousema alipata tatu
enhee kiba anazo ngapiii
daimond hajawah kukosa tuzo za hapa home huo mwaka unaousema alipata tatu
enhee kiba anazo ngapiii
sio tatu mbili au moja tena km sikosei msanii bora wa kiume wa mwaka ndo alichukua
tena hakuwepo ukumbini that day akasema nashangaa nimepataje msanii bora halafu nyingine zimeenda kwa wengine
na ommy alipata ndo aliongoza km sikosei