Ningekuwa domo ningemla mama na binti yake,mama yule anavutia pia
hahaha yule mama analipa sana ni ishu ya kumhemesha kama kuku wa mayaiNami kidogo nisemee ningekua Daimond ningekula mama Wema ili akae kimyaaa,huyu mama ana mdomo sanaa sijui anaona kina mama kajala,mama penny hawawez kuongea mambo ya watoto anaingiliaaa
Daimond hajawah kukosa tuzo za hapa home huo mwaka unaousema alipata tatu
Enhee kiba anazo ngapiii
sio tatu mbili au moja tena km sikosei msanii bora wa kiume wa mwaka ndo alichukua
tena hakuwepo ukumbini that day akasema nashangaa nimepataje msanii bora halafu nyingine zimeenda kwa wengine
Wewe ndio NasDaz???
Habari za Kiba zimetoka wapi?uliza swali kutokana na mada iliyopo...yaani unanikera kila ukiniona akili yako inawaza Kiba tu...
Sio kila wakati nataka/nawaza mabishano
nope, alipata tatu
Kama nakukera kuna ignore list au huioniii,, kiba asiongelewe ye nanii basi zuia mitandao yote wasimuongeleee,unaumia utafikiri nimeongelea mumeoo looo
Wewe naona unanitafuta maneno wewe sio bure....huyo NasDaz tuna utani ndio maana nimemuandikia vile....kwani nimesema Kiba asiongelewe???Mara ngapi unamuongelea umewahi kuona nikiku quote nikakukataza?fanya unachojisikia kwani inanigharimu nini?
Haya sasa....mume wangu katoka wapi tena katika hii mada?
mwaka aliopata tatu unakumbuka mwaka gani
huo mwaka hakuwepo diamond ukumbini
akahoji iweje niwe msanii bora halafu nisipate ya nyimbo bora?
Akamind kweli kuonekana kaonewa mwaka aliochukua tatu nakumbuka alibadilisha nguo mara tatu
Haya sikujuaaa hiloo usipanik dada,siku njema
hhhhaaaaaaa ok nimekuelewaaaaaa
Mama gani apa mjini asiyetaka mkwe mwenye pesa kama CK? Safi sana mama wema huyo mcheza kitorondo akatafute saiz yake uko tandale
Mnh! Wewe wa wapi wewe? Kuanza kuwa star ndo nini?! Huyo Mr. Nice mwenyewe alikuwa bonge la star... where's he? By the way, ni mwaka juzi ya Kirumi au ya ki-Budha unayosema Diamond alikosa tuzo? Kuna kila dalili hiyo mwaka juzi ulikuwa form ii boarding ndo maana ulikuwa hujui yaliyokuwa yanaendelea hapa mjini!Wewe NasDaz unanicheka mimi na mahaba yangu kwa Kiba lakini hushangai wewe ya domo yanavyokupofua macho?
Hivi wema na diamond ni nani alianza kuwa star?diamond si lolote bila wema kumbuka mwaka juzi alivyojidai kuachana nae alifulia hadi akakosa tuzo kill music awards...hapo diamond ndiye anayemtumia wema kuendelea ku maintain status yake....
Ningekuwa domo ningemla mama na binti yake,mama yule anavutia pia
WHAAAAAT? We unasemaje wewe? Utani? Mi nataka kweli halafu unasema utani?Wewe naona unanitafuta maneno wewe sio bure....huyo NasDaz tuna utani ndio maana nimemuandikia vile....kwani nimesema Kiba asiongelewe???Mara ngapi unamuongelea umewahi kuona nikiku quote nikakukataza?fanya unachojisikia kwani inanigharimu nini?
Haya sasa....mume wangu katoka wapi tena katika hii mada?
Anakuvutia na zile hips zilizopo kiunoni?
Baambiege hao...Daimond hajawah kukosa tuzo za hapa home huo mwaka unaousema alipata tatu
Enhee kiba anazo ngapiii
Duh! geniveros unatupiga fix mchana kweupeeee.... hebu fuata hii link: Diamond ang'ara tuzo za Kili music awards 2012,anyakua tuzo tatu kwa mpigo. ~ JIACHIE . Moja ya nukuu kwenye hiyo link: Msanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya (Bongofleva) Nassib Abdul a.k.a Diamond usiku huu ameng'ara kwenye tuzo za Kilimanjaro Music Award 2012, baada ya kujinyakulia tuzo tatu."Namshukuru Mungu, wakati mwingine uvumilivu na subira ni mzuri. Mwaka jana sikupata tuzo, nikamshukuru Mungu, nikaongeza bidii, nikafanya kazi nzuri, leo nimeibuka na tuzo tatu",alisema.Tuzo hizo ni ( Mtunzi Bora wa nyimbo,tuzo ya video bora ya Mwaka –moyo wangu na tuzo ya Mtumbuizaji bora wa kiume." Haya, nifah... sema sasa-- unataka kusema wakati Diamond anasingizia kufa wakati hata kusingizia kuzimia hawezi ilikuwa 2011?sio tatu mbili au moja tena km sikosei msanii bora wa kiume wa mwaka ndo alichukua
tena hakuwepo ukumbini that day akasema nashangaa nimepataje msanii bora halafu nyingine zimeenda kwa wengine