Baada ya Wema kummwaga Diamond, Mama Wema afanya sherehe

yaani siku nitakayoona globo kiba na wema wapenzi ndo mwisho wangu kumpenda kiba siku hiyo hiyo tunaachana manjia

Jamani geno....sidhani kama itakuwa kweli bwana
 
Ndo ivo binamu, mi sidhan lakini kama kweli, japokuwq ndio tunajua kwa wema kashapita sana tu
 
Ndo ivo binamu, mi sidhan lakini kama kweli, japokuwq ndio tunajua kwa wema kashapita sana tu

Lazima atakua keshapita tu....wema ni tambala la jiji jamani..sijui haonagi aibu jamani???
Mimi siwezi kwa kweli
 
Kuna wimbo wa best naso unaitwa HADIJA , nimeku dedicate binamu uisikilize vzur, tena idownload kama huna

Haya ntautafuta niusikilize ole wako uwe mbayaaa
 
Lazima atakua keshapita tu....wema ni tambala la jiji jamani..sijui haonagi aibu jamani???
Mimi siwezi kwa kweli

Wema mzuri ndo maana kila mwanaume anataman amuonje,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…