Baada ya Wema kummwaga Diamond, Mama Wema afanya sherehe

Baada ya Wema kummwaga Diamond, Mama Wema afanya sherehe

Pia mimi nimesikia hii habari jamani...eti unasema Ali Kiba sio maarufu???
Labda umaarufu wa skendo chafu ndio atakua hana...ila kama ni kweli amuache mkaka wa watu ana kisichana chake kizuri kama nini huyo mama ubaya na mastrechmark yake haoni ndani...

Ndo ivo binamu, mi sidhan lakini kama kweli, japokuwq ndio tunajua kwa wema kashapita sana tu
 
Ndo ivo binamu, mi sidhan lakini kama kweli, japokuwq ndio tunajua kwa wema kashapita sana tu

Lazima atakua keshapita tu....wema ni tambala la jiji jamani..sijui haonagi aibu jamani???
Mimi siwezi kwa kweli
 
Lazima atakua keshapita tu....wema ni tambala la jiji jamani..sijui haonagi aibu jamani???
Mimi siwezi kwa kweli

Wema mzuri ndo maana kila mwanaume anataman amuonje,
 
Back
Top Bottom