Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
yaani siku nitakayoona globo kiba na wema wapenzi ndo mwisho wangu kumpenda kiba siku hiyo hiyo tunaachana manjia
Jamani geno....sidhani kama itakuwa kweli bwana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yaani siku nitakayoona globo kiba na wema wapenzi ndo mwisho wangu kumpenda kiba siku hiyo hiyo tunaachana manjia
Pia mimi nimesikia hii habari jamani...eti unasema Ali Kiba sio maarufu???
Labda umaarufu wa skendo chafu ndio atakua hana...ila kama ni kweli amuache mkaka wa watu ana kisichana chake kizuri kama nini huyo mama ubaya na mastrechmark yake haoni ndani...
umeona eeeh kuwa mtu mzima af huna busara ni shiiiida
Ndo ivo binamu, mi sidhan lakini kama kweli, japokuwq ndio tunajua kwa wema kashapita sana tu
Sana Wii.
Ila umejimissisha!
Kuna wimbo wa best naso unaitwa HADIJA , nimeku dedicate binamu uisikilize vzur, tena idownload kama huna
Asante kwa kunielewa msouth
hahaaaa
hiyo oyooooooo kihome home hiyoo na madogo
Wema mzuri ndo maana kila mwanaume anataman amuonje,
Hhhhhhaaaaaaaaaaaa
Jamani geno....sidhani kama itakuwa kweli bwana
Kwa nn jaman, wema si mwanamke kama wengine tu
haya bwana. maa mnajadili kwa hisia kama ndo shemeji yenu kaachwa