Hulda-Tamarri
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 1,412
- 1,669
Wema ndio nani?
Bibi yake Obama!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wema ndio nani?
Hivi mbona hizo evoque sio kali kihivyo lakini watu wanazishobokeeea mara mia ingekua Discovery 4..LR4, au Range Rover Vogue....evoque is such a wacky car...
Hivi range ya wolper kaipata wapi ? Au ndo malipo ya kampeni ya ukawa na yeye
Story za kishgashga peleka huko. Eti New alert!!!!
Wema ndio nani?
huo n upumbav tu wangeshindania kufungua fremu na kujenga nyumba au kufungua makampun...gar za bei chafu na nyumba hawana sio upumbav.. ni nini?
Mala..... fulani anayelazimisha ushindani wa vitu vyake vya kuongwa na watu wanaovitafuta kwa jasho lao.Wema ndio nani?
Mala..... fulani anayelazimisha ushindani wa vitu vyake vya kuongwa na watu wanaovitafuta kwa jasho lao.
Evogue ina CC 1999 kama rav 4 tu, tatizo kama wanunua kweli wao kwa jasho na wapa hongera, lakini wengi wenye magari mtaelewa ugumu utakuja kwenye kumaintain
Mfano: insurance sasa hvi ni 3.5% + VAT
Sasa piga picha range la million 200 kila mwaka kulipia insurance hio,
Hivi range ya wolper kaipata wapi ? Au ndo malipo ya kampeni ya ukawa na yeye
Inasemekana kaweka oda ya hii hapa:
![]()
hiyo evoque ya 200m ni ipi mkuu mana hata ukinunua 0km cmc sio bei hiyo.....hayo magari nw sio ghali mengi yanatoka sauz......landcruiser lx 2012 toyota ni 156m ukinunua toka sauz plus kodi 70m.....so wabongo wanaongeza sifuri sana
......Lakini namba hawajui