Baada ya Wema Sepetu kumiliki Range Rover, Wolper atangaza kubadilisha range yake

Baada ya Wema Sepetu kumiliki Range Rover, Wolper atangaza kubadilisha range yake

Hivi mbona hizo evoque sio kali kihivyo lakini watu wanazishobokeeea mara mia ingekua Discovery 4..LR4, au Range Rover Vogue....evoque is such a wacky car...

Mmmmh we ni wa kishua wewe!Umekua unaona magari nyumbani.
Wale wenzangu na mie ambao tunayaonea kwa road lazima tutetemeke!
 
Welcome back warumi afu warumi utajasutwa ulisema uchumba umevunjika mbona upo ha ha ha ni mapicha tu ya jack kwenye account ya mcongo
Afu kwani wema na wolper haziivi?
 
Last edited by a moderator:
huo n upumbav tu wangeshindania kufungua fremu na kujenga nyumba au kufungua makampun...gar za bei chafu na nyumba hawana sio upumbav.. ni nini?

Look at this dude..haya ni mawazo ya kimasikini..... wewe unaona deal in kujenga frame? Duh..magufuli ana kazi kweli kweli.... Kujenga nyumba in uoga tuu. Ni kwa sababu people are not sure of tomorrow.

Tusipende kuchagulia watu maisha. Kazi anafanya yeye. Pesa anatafuta yeye. Sasa iweje wewe ndo uone mipango na matumizi unayopanga wewe ndo sahihi? Let the girl enjoy her life. Kama ni frame Jenga wewe......atakuja apange kwako.....
 
Mala..... fulani anayelazimisha ushindani wa vitu vyake vya kuongwa na watu wanaovitafuta kwa jasho lao.

Hahaha" Na bado kuna watt weng wakike wa mjini wanamuona ni role model wao" inspiration..Are thy serious
 
Hawa ndio Magufuli atararaa nao mmbeereee.. na hizo K waanze lipia VAT.
 
Evogue ina CC 1999 kama rav 4 tu, tatizo kama wanunua kweli wao kwa jasho na wapa hongera, lakini wengi wenye magari mtaelewa ugumu utakuja kwenye kumaintain
Mfano: insurance sasa hvi ni 3.5% + VAT
Sasa piga picha range la million 200 kila mwaka kulipia insurance hio,
 
hiyo evoque ya 200m ni ipi mkuu mana hata ukinunua 0km cmc sio bei hiyo.....hayo magari nw sio ghali mengi yanatoka sauz......landcruiser lx 2012 toyota ni 156m ukinunua toka sauz plus kodi 70m.....so wabongo wanaongeza sifuri sana
 
Inasemekana kaweka oda ya hii hapa:
0000605b5148-e9ca-4163-9.jpg

Atapigwa na jua la Dar mpaka ashangae😀😀😀
 
hiyo evoque ya 200m ni ipi mkuu mana hata ukinunua 0km cmc sio bei hiyo.....hayo magari nw sio ghali mengi yanatoka sauz......landcruiser lx 2012 toyota ni 156m ukinunua toka sauz plus kodi 70m.....so wabongo wanaongeza sifuri sana

......Lakini namba hawajui
 
Back
Top Bottom