Baada ya Wema Sepetu kushambuliwa na mashabiki wa Zari kuwa hazai, aamua kujibu mapigo

mtotomtamuu

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2016
Posts
602
Reaction score
1,459
Baada ya mwanadada Zari the boss lady kujifungua mtoto wa pili "Riaz junior"

Baadhi ya mashabiki walikuwa wakiingia kwenye page ya instagram ya Wema Sepetu wakimtolea maneno makali kuwa aendelee kupost picha za watoto wa watu wakati wenzake wanazaa.

Baada ya mwanadada Wema Sepetu kukosa uvumilivu, aliamua na yeye kujibu mapigo usiku wa leo katika account yake ya instagram.
 
Wema kuona mafanikio ya Diamond na familia inavyozidi kuongezeka ni maumivu tosha kwake..,

Nadhani hawa watu wampumzishe tu, si vyema kumponda mtu kwenye suala kama hilo la kutoweza kupata mtoto. I hope atafanikiwa apate watoto hata 7 hivii, ili zile diss za kusema Zari ni incubator na yeye aone utamu wake.
 
Anachokifanya Wema kwasasa ni kupambana na mavuno ya alichokipanda,watu hili huwa wanalisahau kuwa UKIANZISHA VITA BASI USIMPANGIE ADUI YAKO PA KUKUPIGA WALA MUDA WA KUISHA VITA. Alichukulia poa tu,kuwa anatafuta kiki kumbe watu walimuweka kiporo. Eti sasahivi anatafuta huruma za waja,keshasahau kauli zake za kuuzi "mtoto m'bayaaa" hakujua mpangaji ni Mungu ....?? mara "tunataka DNA" unataka DNA wewe nani yao ...??? mara "mtoto wa Katunzi" PAMBANA NA VITA YAKO USIOMBE KUSAIDIWA,SI HUWA UNATAFUTA KIKI ...??
 
Mzaramo leo komenti yako nimeielewa zingne huwa sizieleekewi kabisa....chukua soda apo Pretoria nakuja kulipa
zote zina facts kama hii...ila zile nyingine huwa unaamua tu kutozielewa
 
ndio kina nani hao alafu nahisi uko insta kuna mambo mengi sana ngoja nijiunge
 
ndio kina nani hao alafu nahisi uko insta kuna mambo mengi sana ngoja nijiunge
Jiunge mkuu ni kuzuri sana,ila mimi mwenzako huko huwa ni msomaji sio mchangiaji.
 
Tatizo yeye na mimba zake za kuigiza hapo ndio anakosa amani.


Anaenda kukazwa na vitoto hata havijakomaa vzr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…