Baada ya Wema Sepetu kushambuliwa na mashabiki wa Zari kuwa hazai, aamua kujibu mapigo

Baada ya Wema Sepetu kushambuliwa na mashabiki wa Zari kuwa hazai, aamua kujibu mapigo

Anachokifanya Wema kwasasa ni kupambana na mavuno ya alichokipanda,watu hili huwa wanalisahau kuwa UKIANZISHA VITA BASI USIMPANGIE ADUI YAKO PA KUKUPIGA WALA MUDA WA KUISHA VITA. Alichukulia poa tu,kuwa anatafuta kiki kumbe watu walimuweka kiporo. Eti sasahivi anatafuta huruma za waja,keshasahau kauli zake za kuuzi "mtoto m'bayaaa" hakujua mpangaji ni Mungu ....?? mara "tunataka DNA" unataka DNA wewe nani yao ...??? mara "mtoto wa Katunzi" PAMBANA NA VITA YAKO USIOMBE KUSAIDIWA,SI HUWA UNATAFUTA KIKI ...??
Haya yalishaisha guys ,na Wema alishajutia uovu huo,, kwanini yanarudi tena.??
 
Huu ujumbe uwafikie mabinti wote wanaotoa mimba kwasababu wazijuazo wenyewe.

Siku ifikapo ya kilio na kusaga meno wavumilie tu maana waliyataka wenyewe!
Huwezi panda mchele ukavuna uwele.
 
Haya yalishaisha guys ,na Wema alishajutia uovu huo,, kwanini yanarudi tena.??
Kama yameisha inatakiwa anyamaze, kwasababu sasahivi kinachoendelea "timu wema" inaenda kumtukana Zari,uzuri yeye zari hawajibu kawanyamazia na ndio "timu zari" na wenyewe wanaenda kumpa machungu wema. Sasa Wema angekuwa na busara kwanza asingewajibu, lakini kama anaumia sana angewaambia hao wanaojiita "timu wema" wasiende kutukana watu. Cha msingi kabla hujatafuta hiyo inayoitwa kiki, tafakari kwanza hatima yake.
 
ni kweli pamoja Wema ana mapungufu 90%
lakini kukosa kitu mwingine akapata isiwe sababu ya kumuona mwingine hana maana ilihali anajitahidi kadri ya uwezo wake!
sio wema tu wako wengi hawazai na wanatamani watoto!
hata kwenye familia zetu utakuta utakua mtoto mmoja kafanikiwa ,mwingine kina sisi maisha hayakuendea kombo ilihali unajitahidi, sasa ndo ukute mzazi/wanadamu wanakukalia kooni utajuta kuzaliwa!!!

kuzaa kwa Zari isiwe sababu Wema akose amani!.kila zari akizaa Wema amani hana!!!
hamjaongea na muumba anaweza kuzaa hata akiwa mzee wa miaka40
akiamini tu!!

wamseme mengine sio swala la uTasa ,tena hasa tusio zaa tunaweza kuwa kama yeye anytime!
kupata na kukosa ni majaliwa ya muumba.
 
Kwa mara ya kwanza tokea nikujue humu JF leo umenifurahisha.
Cheers [emoji485]
 
Wema amezidi kutowa mimba sana.. Ile mimba ya yule bishoo wa BBA ulipeleka wapi.,? Alafu wewe saivi siumebakisha kiki za kubadili mabwana tu endelea nazo dada wape jicho la tatu watu. Utazaa mungu akipenda
 
Huyu ana tafuta huruma tuu... amesahau kuwa kuna vita haina mwisho? ana fikiri mashabiki wa Diamond watasahau alivyo sema mtoto ni mbaya?
 
SAFARI HII HATAKI DNA?
ahhahahahhahahhahaha watakuandama mpk na wao siku wadai fallopian tubes zao!
psyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
wema popote ulipo njoo nikupatie mtoto wa kichotara ikishindikana nakuhakikishia kukulipa fidia.hao wanaume unawapa wanakula chips sana na kuku wasio na baba
 
Nakumbuka hata tiffah alipozaliwa aliwekaga post kama hii ya kutafuta sympathy! dizaini namuona kama ana chuki na wivu..

Mi nasubiria chibu Jr aje tu bongo nikapige nae selfie! Kama rayvany alivyosema "wasafi tunanenepa kupiga selfie na tiffah" [emoji23] [emoji23]
Hahahahahaha yaan hawezi nyamaza naona roho inamuuma haswaaaaaa ,,,wakati anatoa mimba alifikiria nini asubiri maajaliwaa
 
Back
Top Bottom