umeongea pumba san kakaTatizo yeye na mimba zake za kuigiza hapo ndio anakosa amani.
Anaenda kukazwa na vitoto hata havijakomaa vzr
Haya yalishaisha guys ,na Wema alishajutia uovu huo,, kwanini yanarudi tena.??Anachokifanya Wema kwasasa ni kupambana na mavuno ya alichokipanda,watu hili huwa wanalisahau kuwa UKIANZISHA VITA BASI USIMPANGIE ADUI YAKO PA KUKUPIGA WALA MUDA WA KUISHA VITA. Alichukulia poa tu,kuwa anatafuta kiki kumbe watu walimuweka kiporo. Eti sasahivi anatafuta huruma za waja,keshasahau kauli zake za kuuzi "mtoto m'bayaaa" hakujua mpangaji ni Mungu ....?? mara "tunataka DNA" unataka DNA wewe nani yao ...??? mara "mtoto wa Katunzi" PAMBANA NA VITA YAKO USIOMBE KUSAIDIWA,SI HUWA UNATAFUTA KIKI ...??
Kama yameisha inatakiwa anyamaze, kwasababu sasahivi kinachoendelea "timu wema" inaenda kumtukana Zari,uzuri yeye zari hawajibu kawanyamazia na ndio "timu zari" na wenyewe wanaenda kumpa machungu wema. Sasa Wema angekuwa na busara kwanza asingewajibu, lakini kama anaumia sana angewaambia hao wanaojiita "timu wema" wasiende kutukana watu. Cha msingi kabla hujatafuta hiyo inayoitwa kiki, tafakari kwanza hatima yake.Haya yalishaisha guys ,na Wema alishajutia uovu huo,, kwanini yanarudi tena.??
Tanzanian sweetheart... Waja wamemkalia kooni!!Hawa nao kwani Zari akizaa ndo wakamsimange wema?
Kwa mara ya kwanza tokea nikujue humu JF leo umenifurahisha.ni kweli pamoja Wema ana mapungufu 90%
lakini kukosa kitu mwingine akapata isiwe sababu ya kumuona mwingine hana maana ilihali anajitahidi kadri ya uwezo wake!
sio wema tu wako wengi hawazai na wanatamani watoto!
hata kwenye familia zetu utakuta utakua mtoto mmoja kafanikiwa ,mwingine kina sisi maisha hayakuendea kombo ilihali unajitahidi, sasa ndo ukute mzazi/wanadamu wanakukalia kooni utajuta kuzaliwa!!!
kuzaa kwa Zari isiwe sababu Wema akose amani!.kila zari akizaa Wema amani hana!!!
hamjaongea na muumba anaweza kuzaa hata akiwa mzee wa miaka40
akiamini tu!!
wamseme mengine sio swala la uTasa ,tena hasa tusio zaa tunaweza kuwa kama yeye anytime!
kupata na kukosa ni majaliwa ya muumba.
Nakumbuka hata tiffah alipozaliwa aliwekaga post kama hii ya kutafuta sympathy! dizaini namuona kama ana chuki na wivu..Nae akae kimyaaaa
wakati mwingine tunaweka ushabiki pembeni tunaongea factKwa mara ya kwanza tokea nikujue humu JF leo umenifurahisha.
Cheers [emoji485]
Nashangaa hajauliza kuhusu DNAAnatafuta huruma leo
Hahahahahaha yaan hawezi nyamaza naona roho inamuuma haswaaaaaa ,,,wakati anatoa mimba alifikiria nini asubiri maajaliwaaNakumbuka hata tiffah alipozaliwa aliwekaga post kama hii ya kutafuta sympathy! dizaini namuona kama ana chuki na wivu..
Mi nasubiria chibu Jr aje tu bongo nikapige nae selfie! Kama rayvany alivyosema "wasafi tunanenepa kupiga selfie na tiffah" [emoji23] [emoji23]
Kwani Wema ni tasa kweli?
Keshapimwa na wataalamu ikathibitika kweli hawezi kuzaa?