MENGELENI KWETU
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 9,552
- 24,166
Aendelee kula halua tuNashangaa hajauliza kuhusu DNA
Na tendeAendelee kula halua tu
[emoji23] [emoji23]Anachokifanya Wema kwasasa ni kupambana na mavuno ya alichokipanda,watu hili huwa wanalisahau kuwa UKIANZISHA VITA BASI USIMPANGIE ADUI YAKO PA KUKUPIGA WALA MUDA WA KUISHA VITA. Alichukulia poa tu,kuwa anatafuta kiki kumbe watu walimuweka kiporo. Eti sasahivi anatafuta huruma za waja,keshasahau kauli zake za kuuzi "mtoto m'bayaaa" hakujua mpangaji ni Mungu ....?? mara "tunataka DNA" unataka DNA wewe nani yao ...??? mara "mtoto wa Katunzi" PAMBANA NA VITA YAKO USIOMBE KUSAIDIWA,SI HUWA UNATAFUTA KIKI ...??
Kama yameisha inatakiwa anyamaze, kwasababu sasahivi kinachoendelea "timu wema" inaenda kumtukana Zari,uzuri yeye zari hawajibu kawanyamazia na ndio "timu zari" na wenyewe wanaenda kumpa machungu wema. Sasa Wema angekuwa na busara kwanza asingewajibu, lakini kama anaumia sana angewaambia hao wanaojiita "timu wema" wasiende kutukana watu. Cha msingi kabla hujatafuta hiyo inayoitwa kiki, tafakari kwanza hatima yake.