Baada ya Wema Sepetu kutoswa na Calisah arudi kuimba nyimbo za diamond

Baada ya Wema Sepetu kutoswa na Calisah arudi kuimba nyimbo za diamond

Wema jamani mweeee[emoji134]
We uliemfanyia hivi dada wa watu Mungu anakuona..hizi si akili za kawaida jamani khaaa kutwa kujionyesha unalalana na mwanaume mpya kweli??? Hata kama maneno hayaui lakini yanaumba Wema utaishia pabaya we mwanamke jamani achaaaa
 
Akubali tuu wakati wake umepita aanze kujisogeza mdogo mdogo pande za Shivaz au Mrina.
 
Swala sio nani kapita but some privacy,na watu ambao anakuwa nao na kurudia rudia makosa....mfano me relationships zangu zote kila nlpobreak nlkuwa najifunza kitu na sikuweza kurudia type ileile .... Wema needs a matured man anayejielewa alf akiachana na mitandao ya kijamii ataishi kwa furaha sana,akapunguza na marafiki akatulia kabisa atakuwa more happy lkn kwa hii mitandao,kila event ipo inamcost sana
 
Kuna movie Wema anataka kutoa, hizi ni kick tu.

Ukiziangalia vizuri hizo picha utagundua kwamba hakuna lolote baina yao.
 
Diamond alifanya poa sana kuachana na huyo kahaba angemsumbua sana demu kama dampo kila taka inatupwa hapo!
Wema alimwacha mwenyewe Dai nadhani Katika vitu ambavyo sasa hivi Wema anajuta mojawapo ni hili,halafu mama yake Wema alikuwa hampendi Dai alikuwa anamuona ni masikini hafai kuwa na mwanawe yani alikuwa akihojiwa na waandishi alikuwa anamkandia sana Dai.Nasikia mpaka mwanawe alipomuacha Dai alifanya sherehe,hata huyo mama saa hivi anajuta.
 
Kumbe Wema ni muigizaji mkuu? ndio maana hata maisha yake anayafanya kimaigizo igizo.

Movie yake moja inaitwaje niangalie japo sijui kama natapata huo mda

Mpaka nirudi home kuangalia majina kwenye zile CD zake mkuu.

Ana movie zaidi ya 10 na zingine ameshirikishwa.
 
Ha ha ha, mkuu ana fani yake kabisa ya kuigiza movie, hiyo nyingine ni extra.

Cheki link ya wikipedia kuhusu Wema.

Wema Sepetu - Wikipedia

Mkuu ndio ameigiza zoote hizi?


Year Title
2007 A Point of No Return
2008 Family Tears
2009 Red Valentine
2010 Sakata
White Maria
Tafrani

2011 14 Days
Lerato
Basilisa
The Diary
DJ Ben

2012 Crazy Tenant
House Boy
It Was Not Me

2014 Madame
2015 Mapenzi Yamerogwa
Saa Mbovu
Chungu Cha Tatu

2016 Family
 
Back
Top Bottom