Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
vip namie nataka kupitahata wewe soon utapita tu
fanya booking zamu yako itakuja leovip namie nataka kupita
Kuna movie Wema anataka kutoa, hizi ni kick tu.
Ukiziangalia vizuri hizo picha utagundua kwamba hakuna lolote baina yao.
Anataka kutoa movie ya ngono au?
Wema alimwacha mwenyewe Dai nadhani Katika vitu ambavyo sasa hivi Wema anajuta mojawapo ni hili,halafu mama yake Wema alikuwa hampendi Dai alikuwa anamuona ni masikini hafai kuwa na mwanawe yani alikuwa akihojiwa na waandishi alikuwa anamkandia sana Dai.Nasikia mpaka mwanawe alipomuacha Dai alifanya sherehe,hata huyo mama saa hivi anajuta.Diamond alifanya poa sana kuachana na huyo kahaba angemsumbua sana demu kama dampo kila taka inatupwa hapo!
Kumbe Wema ni muigizaji mkuu? ndio maana hata maisha yake anayafanya kimaigizo igizo.Mkuu ina maana hujui kama Wema ni mwigizaji?
Kumbe Wema ni muigizaji mkuu? ndio maana hata maisha yake anayafanya kimaigizo igizo.
Movie yake moja inaitwaje niangalie japo sijui kama natapata huo mda
Ha ha ha, mkuu ana fani yake kabisa ya kuigiza movie, hiyo nyingine ni extra.
Cheki link ya wikipedia kuhusu Wema.
Wema Sepetu - Wikipedia