Fanton Mahal
JF-Expert Member
- Mar 22, 2024
- 1,597
- 4,661
- Thread starter
- #441
Kiukweli hakuna, ni mazoea tu. Ila sio kwamba nitarudiana nae. HapanaMkuu ana nn kikubwa ambacho hauwezi kukipata Kwa wanawake wengine?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiukweli hakuna, ni mazoea tu. Ila sio kwamba nitarudiana nae. HapanaMkuu ana nn kikubwa ambacho hauwezi kukipata Kwa wanawake wengine?
Hapana chief. It will never happen. Ujue kitu kimenisaidia kuweza hata ku move on mpaka hapa nilipo ambapo ni pazuri, ilikua ni pamoja na kukubali ukwel, halaf kukabiliana nao. Tofauti na mwanzo nilikua sitaki kuamini kinachotokea . Hii imenisaidia sana kuachana nae na muamivu kupona kiuhalisia. Kwamba yah, ni kwel nilimpenda, ila sasa ndio ishakua hivi, hakuna bud kukubaliana na uhalisia. Basi.Wewe ni mpumbavu.
Si ajabu ukarudia makosa yaleyale.
Kurudiana mkuu hilo sio kweli, halipo kwemye hesabuNi kweli kabisa. Na ndio mana Mwenyezi Mungu kwenye Quran amesema kama wana ndoa wanataka kurudiana msiwakataze waacheni warudiane. Ndio mana katika Uislamu kuna Talaka rejea. Hapo kila mtu kuna lake amejifunza
Umenikumbusha pale mahakaman siku ya kesi, kuna wadau niliwakuta nao wana kesi za ndoa. Bas tukawa tunapiga stori za hapa na pale kuhus yanayotusibu kama ujuavyo wanaume, mnakutana hamjuani ila mnapiga stori kama mnafahamiana kitaambo.
Mkuu nilisha leta muendelezo wa kesi baada ya huu uzi.Maelezo yako yanaonyesha mpaka Sasa ukavunja Sheria.
Ila anataka uvunje sheria akupoteze mazima..Pambana nae kiume na malizana nae kiume...Dunia hii hii itamgeukia.....Focus kwa watoto...
Naupitia..upo kurasa number ngapi...Mkuu nilisha leta muendelezo wa kesi baada ya huu uzi.
Nenda kamroge usikubali utapeliwe kizembe.Hapana chief. It will never happen. Ujue kitu kimenisaidia kuweza hata ku move on mpaka hapa nilipo ambapo ni pazuri, ilikua ni pamoja na kukubali ukwel, halaf kukabiliana nao. Tofauti na mwanzo nilikua sitaki kuamini kinachotokea . Hii imenisaidia sana kuachana nae na muamivu kupona kiuhalisia. Kwamba yah, ni kwel nilimpenda, ila sasa ndio ishakua hivi, hakuna bud kukubaliana na uhalisia. Basi.
Kuna jamaa yangu alijitolea kufanya hii kazi bureeeeNenda kamroge usikubali utapeliwe kizembe.
Naupitia..upo kurasa number ngapi...
Samahani lakiniWakuu heshima kwenu. Poleni na majukumu.
Ndugu yenu numerudi tena kuwajuza yale yanayoendelea kunisibu, maana najua hapa wamejaa watu wenye upeo wa kushauri, kutia moyo ,kuonya, kukufungua jicho upate alert na wengine weeengi sana.
Wiki kadhaa zimepita toka nilete mikasa yangu na mazonge ya wife.
Soma: Mshkaji wangu anataka kumroga mama watoto wangu
Pia nikaleta huu: Nini madhara ya Kutoonekana mahakamani katika kesi ya Ndoa?
Sasa ni hivi, kwakifupi ni kwamba, baada ya wife kuamua kuondoka nyumbani, nikamtafuta mara kadhaa simu zikawa hazipokelewi, basi na mimi nikaamua kupiga kimyaa tu.
Si kupiga simu wala kutuma message.
Katika mazingira hayo, ya kutowasiliana, yeye akiwa kwao huko mitaa ya Boko, mimi nikaanza kupokea "samansi" kupitia ngazi za serikali.
Nikapelekwa dawati la jinsia polisi
Nikapelekwa baraza la kata
Nikaitwa kikao cha familia
(Koote huko, ni yeye, na msimamo wangu ulikua, kutafuta suluhu maisha yaendelee ila mwenzangu akagoma na kusisitiza dai la Talaka)
Nikaitwa tena polisi na kutiwa lockup
NIkatolewa kwa dhamana.
Niliporudi home nikakuta kahamisha karibia 50% ya kila kitu mle ndani, ikiwemo vitu vyake na vya watoto wetu wanne vyooote.
Nikafuatilia na kugundua kule baraza la kata ameshachukua form no.3 kwaajili ya kufungua shauri la talaka mahakamaani
Kipindi hiki chooote ni yeye anacheza offensive game ya kuniburuza namna hiyo anavyotaka, mimi nimetulia kwenye mode ya Deffensive game. Sitaki kushindana na mama watoto, hasa ukizingatia aliondoka na watoto.
Nikaona isiwe kesi, huyu mama kweli kadhamiria kuni destroy.
Ikumbukwe kuwa muda wote huo , niko busy na shughuli zangu za kibiashara na kusafiri mikoani, hivyo nalazimika kusitisha kazi na kuja kuitika wito mpaka nawekwa ndani, na kipindi hiki chote niliamua kuacha nyumba na kuhamishia makazi mwanza. Home pakawa pamebaki hapana mtu.
Baada ya muda nikapata wito wa mahakama, wife kafungua kesi ya kutadai talaka.
MImi nimetulia zangu tu wala sishindani naye.
Kila anachofanya, mimi napambana nacho, nachomoka, simtumii text, wala kumpigia kusema labda kumlaumu,au kumtishia au kumuomba msamaha aachane na hizi ishu, au kusalimia watoto, nimekaa kimyaa tuuu.
Mawazo nikaona yananizidia, nisije changanyikiwa, nikarudi nyumbani nyanda za juu kusini kwa baba na mama. Hii kwa kiasi kikubwa ikanisaidia.
ONA SASA,
Sasa week hii karibia na kesi, nikasafiri kurud Dar, kwakua nilikua na majukumu ya kikazi, nikaona isiwe tabu, nikatafuta taarifa za pale nyumbani panaendeleaje ? Nikamtafuta mtu wa jirani, akafika home akakuta pamevunjwa geti na nilimpomsihi anisaidie kuingia ndani na kukagua, akakuta 95% katika vitu vilivyobakishwa na wife alipotoroka nikiwa lockup, pia vimeibiwa.
Basi nilipomalizA majukumu yangu, nikaona nipite pale home, kisha nikaenda ku report polisi juu ya tukio, maana nikawaza, wife kafungua kesi ya talaka na moja ya madai yake ni mgawanyo wa mali kwa maana ya nyumba, sasa japo sikua na hamu tena na chochote juu ya mali, nikataka nipotezee tu hata nisifike home ila nikaona hii isije niletea shida kwenye kesi ya mgawanyo wa mali ikaonekana mimi kwa namna moja au nyingine nime temper na mali ambazo kesi ya wife inataka zigawanywe baada ya talaka.
Nikaona acha nipeleke taarifa niwe katika safe side.
Baada ya kumaliza ku report nikarudi tena nyumbani, na kushuhudia hali halisi, baada ya hapo, nikamuita kijana mmoja jirani yangu, nikamwambia achukue kila kitu kilichobaki mle ndani ambavyo wezi waliviacha.
Vitu vile vikubwa kubwa kama makabat na furniture ,na baadhi ya vyombo. Nikamwambia avichukue tu, nimempa, maana hawa wezi wanaweza wakarud tena wakaiba, hivyo bora jirani unufaike wewe ninayekujua. By the way sina mpango tena wa kurud kufanya maisha hapa.
Tukaachana nikaondoka kurudi hotel niilipofikia kusubiri siku ya kesi mahakamani maana imekaribia.
Sasa kitu cha kushangaza ni kwamba, yale niliyokua najiuliza na ku assume kichwani, ndiyo hayo hayo alikua akiyafikiri yule askari aliyenichukua maelezo. Maana yeye siku natiwa lockup na wife, yeye alikuwepo mpaka siku natoka, so mgogoro wetu anaujua.
Akaniuliza katika maelezo "je, katika tukio hili, unamtuhumu nani?".
Nikajibu "simtuhumu mtu wala sijui ni nani aliyetenda"
Akafunga maelezo na kufungua jalada kisha kunipa RB yangu.
Ila "off record" akaniambia " laiti kama mimi ningekua mpelelezi wa kesi hii, ningemtia hatiani mke wako kama mtuhumiwa namba 1"
Nikasema "hapana mimi sifahamu".
Japo kiukweli, ninasukumwa kuamini hili.
Ninaamini kabisa, wife amefikia hatua mbaya sana ya chuki juu yqngu na anajaribu kuni provoke indirectly na kuni push nichukue hatua ngumu, baada ya kuona kila chokochoko zake, mimi naamua kuzipuuzia, na kuingia gharama ya kukubali maumivu anayonisababishia.
Ikumbukwe chanzo cha mgogoro mzima ni mimi kufumania picha zake za uchi akiwa katika safari ya kikazi nikamhoji, akani temea shit, nikamchapa. Ila ndio hivyo anakomaa kuvunja ndoa.
Wakuu, na hayo tu.
NIwatakie mchana mwema
Yuko wapi mkuu ungeweka namba vijana wapone wasife mapemaKuna jamaa yangu alijitolea kufanya hii kazi bureeee
Nilshaachana nae mkuu. Nikaleta na mrejesho hapaSamahani lakini
Mara ya mwisho KWENDA Makaburini lini
YAAN sikumaliza HATA nusu nkaonaaa mkuu kifo kinakutafuta
Kwa ujunla achana nae sio wako HUYO
Kama kungekuwa na shule ya ndoa na mitihani yake ningekupeleka British school ukajaribu bahati yake
Kwa bahati mbaya hawafundishi mambo ya ndoa mkuu
Ukitaka kufauluu jifunze
Hii n maombi Yangu kwa Allah uachane nae else weka wazi kama ulijichanganya kwenye mali mambo ya Mr n Mrs weka hapa
Wapo wanasheria wakusaidie sawaa
Sure, wengi wanakandamizwa sana na hiz sheria zimewapa kipaumbele sana hawa wenzetuIla wanaume tumeumbwa na matesoo kweli YAAN kila siku vilioo n ndoa wanawake
Ubarikiwe sana mkuu NAKUONA ukipata mbingun na DHAMBI zako kusamehewaNilshaachana nae mkuu. Nikaleta na mrejesho hapa
Hatimae hukumu imetoka tayari, siku ya kwanza tu ya kesi kusikilizwa
Wakuu heshma kwenu. Habari za jioni. Nimeona ni vyema kuwa update kuhusu mwenendo wa suala ambalo nilileta hapa jukwaani siku ya jumatatu katika uzi huu...www.jamiiforums.com
Hivi ulishatoa talaka tayari mkuu?Am not so sure. Nachoshukuru, am healing now, hilo ndio kubwa kwa sasa
Ahsante sana mkuu, kuhusu talaka nilishaketa uzi upo humu piaHivi ulishatoa talaka tayari mkuu?
mbona sijaona hapo uliandika?
Maisha yana mengi sana.. lakini huyo x wako ..unampenda bado mambo tu ... ...
Ishi na amani yako ..., kilicho chako utapata tu... .. afadhali ya wewe ..wenzio huku na jela walikwenda!
kipaa pumu kiki mtoka atarudi.. , move on .. kaza moyo.. utapata malkia ..ila kwa sasa tafuta wa ku hang nae ili kupoteza mawazo...
Maumivu yake nayajua... .. pole sana mkuu.
Atakuja kukumbuka,ila wanakosa sana hili si kwako wewe tuu!Wakuu heshima kwenu. Poleni na majukumu.