Fanton Mahal
JF-Expert Member
- Mar 22, 2024
- 1,597
- 4,661
- Thread starter
- #421
Bas atakua hajafanya calculation zake sawa sawa. Japo hii kitu kwasasa siipendi. Sitaman hata kuzungumza na wanangu kwasasa maana naona ni kama anataka kuwatumia ili kujitonesha maumivu, anajua jinsi bond ya mimi na wanangu ilivyo.Anawatumia kukufikia wewe be wise. Kuna mtu namjua alikuwa anawatumia watoto kumpgia mwenza ili aweze kurudi
So nimehis may be alivyoona nimemkataa vibaya mahakaman akahis nimeshakata shauri la ku move on hivyo anataka kuanza kuni tesa kihisia na kunipa mawazo.
Maana anajua siwez kuwawaza wanangu nikaacha kumuwaza na yeye.
Hili naliona kama mtego na kiukwel sijalipenda, nalitafutia ufumbuzi