Optimist_Tz
JF-Expert Member
- Jan 11, 2024
- 1,543
- 1,860
Wa huko huko kwetu chief
Hiiii 🙆♂️🤦♀️
Hao ni wajeuri pro max .
Kumbe ndio maana ?!
Lakini Hata wanawake wa makabila mengine wapo wakorofi hivyo hivyo na tamaa za mali na ushirikina.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wa huko huko kwetu chief
Tulikuuliza sababu ya kumchapa makofi ukaficha kumbe ni picha za uchi! Duu pole huyo wala siwezi mtetea.
hao wakishua Kuna wengine ni jau ×10 nawa jua baadhi full zigzag.We kama hutaki shida jitafutie mtoto wa kishua au mzungu wa America afu tumia ile mbinu ya kivita aliyotumia INSIDER MAN
ndo mbinu ya kivita inatumika wajae kwenye 18hao wakishua Kuna wengine ni jau ×10 nawa jua baadhi full zigzag.
Beside shemeji yangu binti kiziwi ame nitafutia mchumba mzuri.
hajui hata kutukana😂
Mi huyo mchumba aki nizingua, namsema kwa dada ake binti kiziwi ili amchape bakora!ndo mbinu ya kivita inatumika wajae kwenye 18
Ndiyo ,kama anampiga kila siku! Kwani yeye ni mtoto mdogo ambaye kila siku ni makofi ni ngumi siku atolewe jicho ? Au mwanamke haumii huyo mwanaume yeye kakamilika ?Kwa hiyo mwanamke mwenye hekima anaweza kutaka kuachana sababu ya kupigwa na mumewe ??
Kiburi tu.
Ndiyo ,kama anampiga kila siku! Kwani yeye ni mtoto mdogo ambaye kila siku ni makofi ni ngumi siku atolewe jicho ? Au mwanamke haumii huyo mwanaume yeye kakamilika ?
Kwahiyo mwanamke huo mdomo wake anajiongelea tu bila sababu? Sikia nikwambie wanaume wengi wa siku hizi hawajui kuishi na wake zao mwanaume hivi unajua mwanamke anaanza kupevuka kuliko mwanaume? Sasa muoe ukizani mdogo, ndiyo maana mmeambiwa ishini na wake zenu kwa akili sio kuishi ishi tu bila kueleweka, unakuta kila siku unarudi jioni, basi weekend Kaa na mkeo muongee lakini napo anashinda mtaani, na akirudi busy kwenye mtandao unategemea nini hapo kama sio huo mdomo unaousema?Labda Mwanaume awe kichaa kumpiga bila sababu.
Kinachowaponza wengi ni midomo yenu na ukosefu wa adabu na heshima kwa wanaume zenu.
Hakuna wa kukupiga bila sababu labda awe kichaa tu.
Unakuta mwanamke anakosa subira aliambiwa subiri tutaongea hataki anataka usiku mzima msilale umsikilize akilalalamq na kelele chunga nzima, Mwanaume gani anayataka hayo ??!
Kwanini uchane kitabu kuzima sababu ya ukurasa mmoja tu ?!
Hivi mnaijua thamani ya ndoa nyie ?!
Mnajitia wazimu wa kudai talaka Halafu mane da kusumbua manabii na waganga watalaka zenu wawarejee.
Halafu cha ajabu ni kama una kibwana chako kinakupa kiburi cha kudai talaka ili uwe huru ukiachika tu akijua nae anakuacha 👌👌👌
Ndivyo walivyo wanaume wengi.
Unaachika unaenda kuwa mchepuko wa kule wa mtu.
Hivi mkoje ?
Huwa mnajistukia kweli nyie ??!
Ahsante sana, nashkuru sana mkuuWanaume wanakufa haraka kwa sababu ya mambo kama haya, nakufurahi unavyoshea unaondoa uchungu moyoni. Tafadhali usikae kimya ukatengeneza tatizo la moyo bali endelea kushea hapa nasi tutakupa mawili matatu.
Binafsi naamini asilimia mia moja mwanamke ndie anaejenga na kuvunja ndoa yake mwenyewe.
Kuhusu mali, nikushauri mpe zote na nyumba akachukue na ww kaka yangu mzuri nenda kaanze upya utauona mkono wa Mungu atakavyokupigania.
Huyu mke wako atakuja kuomba msamaha siku moja na kujutia yotee, ukweli huchelewa sanaa.
Sasa, focus kwenye kazi zako asije akakurudisha nyuma nimeona hata kwa ndg zangu jinsi wanavyoteseka na wake zao.
Mwisho, waombee watoto wako na uwekeze sana kupandikiza upendo wakuamini kwamba huna shida omba mahakama iweke utaratibu wakuwa na wototo wako. Ukiwa dar waangizie bolt waje wakuone.
Nimeamua kufanya hivyo kakaMpe talaka. Machine nyumba 100%. Kubali kuendelea kutoa matumizi yq watoto mpaka waffke 18years
Anza maisha mapya haraka sana iwezekanavo. Huyo mwanamke anaweza kukuua muda wowote.
Hebu andika YouTube heart of a stereo with no rap lyrics by Adam Levine.Ahsante sana, nashkuru sana mkuu
Karibu rafiki natamani niwe nakusaidiaa mawazo ili uishi siku nyingi. Wewe wapende wazazi wako sanaa kupitia wao utapata amani maana hawataacha kukuombea kila siku. Usiache kutumia nguvu na akili kuweka bond kwa watoto wako maana huyo mwanamke anaweza kuwa brainwash watoto wako.Ahsante sana, nashkuru sana mkuu
Huyo haijui dunia. Subiri kidogo tu atapauka atarudi anajigaragara.Nimeshaona wengi wanaondokaga kwa mbwembwe ila wakipigwa matukio hawataamini macho yao.Wakuu heshima kwenu. Poleni na majukumu.
Ndugu yenu numerudi tena kuwajuza yale yanayoendelea kunisibu, maana najua hapa wamejaa watu wenye upeo wa kushauri, kutia moyo ,kuonya, kukufungua jicho upate alert na wengine weeengi sana.
Wiki kadhaa zimepita toka nilete mikasa yangu na mazonge ya wife.
Soma: Mshkaji wangu anataka kumroga mama watoto wangu
Pia nikaleta huu: Nini madhara ya Kutoonekana mahakamani katika kesi ya Ndoa?
Sasa ni hivi, kwakifupi ni kwamba, baada ya wife kuamua kuondoka nyumbani, nikamtafuta mara kadhaa simu zikawa hazipokelewi, basi na mimi nikaamua kupiga kimyaa tu.
Si kupiga simu wala kutuma message.
Katika mazingira hayo, ya kutowasiliana, yeye akiwa kwao huko mitaa ya Boko, mimi nikaanza kupokea "samansi" kupitia ngazi za serikali.
Nikapelekwa dawati la jinsia polisi
Nikapelekwa baraza la kata
Nikaitwa kikao cha familia
(Koote huko, ni yeye, na msimamo wangu ulikua, kutafuta suluhu maisha yaendelee ila mwenzangu akagoma na kusisitiza dai la Talaka)
Nikaitwa tena polisi na kutiwa lockup
NIkatolewa kwa dhamana.
Niliporudi home nikakuta kahamisha karibia 50% ya kila kitu mle ndani, ikiwemo vitu vyake na vya watoto wetu wanne vyooote.
Nikafuatilia na kugundua kule baraza la kata ameshachukua form no.3 kwaajili ya kufungua shauri la talaka mahakamaani
Kipindi hiki chooote ni yeye anacheza offensive game ya kuniburuza namna hiyo anavyotaka, mimi nimetulia kwenye mode ya Deffensive game. Sitaki kushindana na mama watoto, hasa ukizingatia aliondoka na watoto.
Nikaona isiwe kesi, huyu mama kweli kadhamiria kuni destroy.
Ikumbukwe kuwa muda wote huo , niko busy na shughuli zangu za kibiashara na kusafiri mikoani, hivyo nalazimika kusitisha kazi na kuja kuitika wito mpaka nawekwa ndani, na kipindi hiki chote niliamua kuacha nyumba na kuhamishia makazi mwanza. Home pakawa pamebaki hapana mtu.
Baada ya muda nikapata wito wa mahakama, wife kafungua kesi ya kutadai talaka.
MImi nimetulia zangu tu wala sishindani naye.
Kila anachofanya, mimi napambana nacho, nachomoka, simtumii text, wala kumpigia kusema labda kumlaumu,au kumtishia au kumuomba msamaha aachane na hizi ishu, au kusalimia watoto, nimekaa kimyaa tuuu.
Mawazo nikaona yananizidia, nisije changanyikiwa, nikarudi nyumbani nyanda za juu kusini kwa baba na mama. Hii kwa kiasi kikubwa ikanisaidia.
ONA SASA,
Sasa week hii karibia na kesi, nikasafiri kurud Dar, kwakua nilikua na majukumu ya kikazi, nikaona isiwe tabu, nikatafuta taarifa za pale nyumbani panaendeleaje ? Nikamtafuta mtu wa jirani, akafika home akakuta pamevunjwa geti na nilimpomsihi anisaidie kuingia ndani na kukagua, akakuta 95% katika vitu vilivyobakishwa na wife alipotoroka nikiwa lockup, pia vimeibiwa.
Basi nilipomalizA majukumu yangu, nikaona nipite pale home, kisha nikaenda ku report polisi juu ya tukio, maana nikawaza, wife kafungua kesi ya talaka na moja ya madai yake ni mgawanyo wa mali kwa maana ya nyumba, sasa japo sikua na hamu tena na chochote juu ya mali, nikataka nipotezee tu hata nisifike home ila nikaona hii isije niletea shida kwenye kesi ya mgawanyo wa mali ikaonekana mimi kwa namna moja au nyingine nime temper na mali ambazo kesi ya wife inataka zigawanywe baada ya talaka.
Nikaona acha nipeleke taarifa niwe katika safe side.
Baada ya kumaliza ku report nikarudi tena nyumbani, na kushuhudia hali halisi, baada ya hapo, nikamuita kijana mmoja jirani yangu, nikamwambia achukue kila kitu kilichobaki mle ndani ambavyo wezi waliviacha.
Vitu vile vikubwa kubwa kama makabat na furniture ,na baadhi ya vyombo. Nikamwambia avichukue tu, nimempa, maana hawa wezi wanaweza wakarud tena wakaiba, hivyo bora jirani unufaike wewe ninayekujua. By the way sina mpango tena wa kurud kufanya maisha hapa.
Tukaachana nikaondoka kurudi hotel niilipofikia kusubiri siku ya kesi mahakamani maana imekaribia.
Sasa kitu cha kushangaza ni kwamba, yale niliyokua najiuliza na ku assume kichwani, ndiyo hayo hayo alikua akiyafikiri yule askari aliyenichukua maelezo. Maana yeye siku natiwa lockup na wife, yeye alikuwepo mpaka siku natoka, so mgogoro wetu anaujua.
Akaniuliza katika maelezo "je, katika tukio hili, unamtuhumu nani?".
Nikajibu "simtuhumu mtu wala sijui ni nani aliyetenda"
Akafunga maelezo na kufungua jalada kisha kunipa RB yangu.
Ila "off record" akaniambia " laiti kama mimi ningekua mpelelezi wa kesi hii, ningemtia hatiani mke wako kama mtuhumiwa namba 1"
Nikasema "hapana mimi sifahamu".
Japo kiukweli, ninasukumwa kuamini hili.
Ninaamini kabisa, wife amefikia hatua mbaya sana ya chuki juu yqngu na anajaribu kuni provoke indirectly na kuni push nichukue hatua ngumu, baada ya kuona kila chokochoko zake, mimi naamua kuzipuuzia, na kuingia gharama ya kukubali maumivu anayonisababishia.
Ikumbukwe chanzo cha mgogoro mzima ni mimi kufumania picha zake za uchi akiwa katika safari ya kikazi nikamhoji, akani temea shit, nikamchapa. Ila ndio hivyo anakomaa kuvunja ndoa.
Wakuu, na hayo tu.
NIwatakie mchana mwema
Dah hata sio kabila ukikutana nalo la kukunyea linakunyea tu😂😂Hiiii 🙆♂️🤦♀️
Hao ni wajeuri pro max .
Kumbe ndio maana ?!
Lakini Hata wanawake wa makabila mengine wapo wakorofi hivyo hivyo na tamaa za mali na ushirikina.
Watarudiana tu hawa wenye ndoa ya kikristoHuyo haijui dunia. Subiri kidogo tu atapauka atarudi anajigaragara.Nimeshaona wengi wanaondokaga kwa mbwembwe ila wakipigwa matukio hawataamini macho yao.
Ahahahahah...mkuu sio kirahis namna hivyo.Watarudiana tu hawa wenye ndoa ya kikristo