Baada ya Wife kuniweka Lockup naona kama natengenezewa mazingira ya ku react nichukue hatua kali

Baada ya Wife kuniweka Lockup naona kama natengenezewa mazingira ya ku react nichukue hatua kali

Nimeona mara nyingi unaongelea kusamehe, lakini Unasamehe jambo lenyewe linamuelekeo wa kusameheana, Sasa wewe unamsamehe mtu anayetaka ufe kwa stress?

Pima DNA za watoto ukishajua ni wako , acha mahakama waamue, na kwasababu anataka Talaka, atapewa atakacho.
Kama DNA zikiamua ni watoto wako wote utalea tu, na kama kuna share nalo ni jambo la kheri, kwani utaujua ukwerli na utalea walio wako na maisha yatasonga mbele.
 
Nami nahisi hili litakuwa jambo muhimu Mleta mada kulifanya, Usiogope kuambiwa fulani siyo wako au wote ni wako, lakini ni jambo muhimu sana katika mahusiano na talaka. Hata ustawi wa jamii wanashauri kwenye kesi zao za usuluhishi hasa linapohusu watoto, DNA ni muhimu kabla ya yote.
Naona mleta mada Fanton Mahal hawezi fanya hivi anamuogopa sana mkewe sijui alilishwa limbwata la wapi, kwa uchache aliyosema hapa kuhusu mkewe basi akikuta watoto wote wannne ni wake basi akafanye na ibada ya shukrani kabisa
 
Ikumbukwe chanzo cha mgogoro mzima ni mimi kufumania picha zake za uchi akiwa katika safari ya kikazi nikamhoji, akani temea shit, nikamchapa. Ila ndio hivyo anakomaa kuvunja ndoa.

Wakuu, na hayo tu.
NIwatakie mchana mwema
Damn woman!!!

Mtihani sana hawa viumbe,natamani kufahamu hiki kisa....sorry mkuu naomba link ya hii mada kama ipo karibu.
 
Dah pole sana mkuu.
Sijui nilitaka kuandika nini chakufaa ila afya yako ya mwili na akili ni bora zaid kuliko chochote
 
Pole sana mkuu,pata muda kupumzika upunguze mawazo. Lakini mwanamke usimrudie hata kama akiomba msamaha.

Ni kweli maana akumulikae mchana usiku anakuchoma.
Ngoja aje amuue.
Kuna wanawake ni wakatili mno na ndio maana hata kwenye misiba hawalii na hata bujane hawaogopi kama zamani.
 
Umeniona mkuu. Niseme watoto ndio wamekua udhaifu wangu mkubwa sana, ila kwasasa nimeamua nikaze moyo tu


Amelijua hilo ndio maana ametumia kama fimbo ya kukuchapia.
Muhimu iambie mahakama kuwa atakae wachukua watoto kuishi nao basi ajue na kuwatunza kabisa ni child support.
Bajeti ya kugawa haipo.
Każa malafyale uweke heshima.
 
Back
Top Bottom