Nimeona mara nyingi unaongelea kusamehe, lakini Unasamehe jambo lenyewe linamuelekeo wa kusameheana, Sasa wewe unamsamehe mtu anayetaka ufe kwa stress?
Pima DNA za watoto ukishajua ni wako , acha mahakama waamue, na kwasababu anataka Talaka, atapewa atakacho.
Kama DNA zikiamua ni watoto wako wote utalea tu, na kama kuna share nalo ni jambo la kheri, kwani utaujua ukwerli na utalea walio wako na maisha yatasonga mbele.