Baada ya Wife kuniweka Lockup naona kama natengenezewa mazingira ya ku react nichukue hatua kali

Wewe ni mpumbavu.


Si ajabu ukarudia makosa yaleyale.
Hapana chief. It will never happen. Ujue kitu kimenisaidia kuweza hata ku move on mpaka hapa nilipo ambapo ni pazuri, ilikua ni pamoja na kukubali ukwel, halaf kukabiliana nao. Tofauti na mwanzo nilikua sitaki kuamini kinachotokea . Hii imenisaidia sana kuachana nae na muamivu kupona kiuhalisia. Kwamba yah, ni kwel nilimpenda, ila sasa ndio ishakua hivi, hakuna bud kukubaliana na uhalisia. Basi.
 
Maelezo yako yanaonyesha mpaka Sasa ukavunja Sheria.
Ila anataka uvunje sheria akupoteze mazima..Pambana nae kiume na malizana nae kiume...Dunia hii hii itamgeukia.....Focus kwa watoto...
 
Ni kweli kabisa. Na ndio mana Mwenyezi Mungu kwenye Quran amesema kama wana ndoa wanataka kurudiana msiwakataze waacheni warudiane. Ndio mana katika Uislamu kuna Talaka rejea. Hapo kila mtu kuna lake amejifunza
Kurudiana mkuu hilo sio kweli, halipo kwemye hesabu
 
Huyo ni mapanga tu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Umenikumbusha pale mahakaman siku ya kesi, kuna wadau niliwakuta nao wana kesi za ndoa. Bas tukawa tunapiga stori za hapa na pale kuhus yanayotusibu kama ujuavyo wanaume, mnakutana hamjuani ila mnapiga stori kama mnafahamiana kitaambo.
Niliwasimulia yanayonihusu, jamaa mmoja alipaniki sana akasema " bro we tafuta milion 2 tu, kuna watu nakuunganisha nao, hao wanammaliza dakika chache tu hutakuja kumuona tena".
Nikaona enheee hii shughuli pevu, kumbe watu wanawaza mpaka haya mambo??
 
Nenda kamroge usikubali utapeliwe kizembe.
 
Samahani lakini

Mara ya mwisho KWENDA Makaburini lini

YAAN sikumaliza HATA nusu nkaonaaa mkuu kifo kinakutafuta

Kwa ujunla achana nae sio wako HUYO

Kama kungekuwa na shule ya ndoa na mitihani yake ningekupeleka British school ukajaribu bahati yake

Kwa bahati mbaya hawafundishi mambo ya ndoa mkuu


Ukitaka kufauluu jifunze

Hii n maombi Yangu kwa Allah uachane nae else weka wazi kama ulijichanganya kwenye mali mambo ya Mr n Mrs weka hapa

Wapo wanasheria wakusaidie sawaa
 
Nilshaachana nae mkuu. Nikaleta na mrejesho hapa

 
Ubarikiwe sana mkuu NAKUONA ukipata mbingun na DHAMBI zako kusamehewa


Wale watu sio kabisaa m 2005 nilibaki kidogo nowe mwehu nkambiwa Fanya MAAMUZI magumu familia haikuamini
 
Yaani kifupi ukiona huoni mwendo mwache AMALIZE mwendo mwenyewe

Hivi sasa Yuko mtaan nikimwona posta anaongea mwenyewe nabadili njia nahisi anaweza nivamia
 
Am not so sure. Nachoshukuru, am healing now, hilo ndio kubwa kwa sasa
Hivi ulishatoa talaka tayari mkuu?
mbona sijaona hapo uliandika?

Maisha yana mengi sana.. lakini huyo x wako ..unampenda bado mambo tu ... ...
Ishi na amani yako ..., kilicho chako utapata tu... .. afadhali ya wewe ..wenzio huku na jela walikwenda!

kipaa pumu kiki mtoka atarudi.. , move on .. kaza moyo.. utapata malkia ..ila kwa sasa tafuta wa ku hang nae ili kupoteza mawazo...
Maumivu yake nayajua... .. pole sana mkuu.
 
Ahsante sana mkuu, kuhusu talaka nilishaketa uzi upo humu pia
 
Atakuja kukumbuka,ila wanakosa sana hili si kwako wewe tuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…