Baada ya Wife kuniweka Lockup naona kama natengenezewa mazingira ya ku react nichukue hatua kali

Pole sana kaka, na hili jua lilivyo Kali na huo moto unapelekewa unaweza kuwa chizi. Nadhan ushauri mzuri utaupata kwa mtu ambae amewahi kupitia changamoto kama hizo.
Kwa akili zangu za kisoda naweza kukuambia unique silaha zote tupambane na adui yako kumbe adui mwenyewe umeza nae watoto.
 
Mkuu kwani husingeenda uko ofisi zote alizokupeleka kungetokea nini hasa uko sijui Baraza la kata na kikao cha famili wewe husinge enda, we ungepiga kimya na ulivyoona kachukua vitu vya ndani ungefanya kama ulivyofanya baada kukuta kumeibiwa na pale kama ulikodi unaama ata kija huyo mke wako akute kuna mtu mwingine.
 
Mwamba wewe ni mvumilivu sana sana, ila kuna Kitu unatuficha hapo lakini pia inaweza kuwa siri yenu sisi hayatuhusu. Ila hongera sana kwa kuwa mvumilivu. kama nyumba ni yako usiiache endelea kubaki kwako usimpe mwanamke faida asiyostahili, aytakuja kutapanya mali ya familia na hawara yake
 
Mimi mtu mzima, nakushauri maliza kesi haraka mpe tàlaka, fànyeni mgao wa mali haraka usiache hata kijiko. Uza nyumba mgawane haraka. Mambo huko aliko yanakaribia kumharibikia ànaweza kurudi àkaanza kukulazimisha kwamba hujamwacha àkaleta vurugu nyingine.
 
Uimwachie hawara nyumba, uza wakajenge yao.
 
Mke wako ni mtu wa Kagera nini,
 
mmezoeana kiasi cha kupata watoto 4 afu unamchapa, hii kitu nahisi ilimkata sana.

ukimya ni best solution, sema kweny ishu yako haiwez kuw best, itakuwa best labda kumsoma tu ila haitakiwi ika for long.

unatakiwa u participate fully especially ikihusisha hadi watoto, is either u hustle kumrudisha au u speed-up kutoa talaka.

m ndo nngefanya hivyo.
 
Mimi naona wewe ndio unayapenda matatizo....

Mtu kashakuambia hakutaki na anataka taraka.....wewe bado unamlazimisha wa nini....muache aende anapoona panamfaaa
Sijamganda chief, kikristo huwez toa tu talaka man, ninlazima shauri liwe filed mahakama, na ndio hatua ilipofika na mimi nimeitwa huko week hii na ndiko nitamalizanannae, ndio maana sikuona sababu wala sikua na mazingira ya ku bargain nae chochote.

Na kwakua sipend matatizo nilishahama mkoa, mbona uzi unajieleza mkuu?
Yeye kaamua kunikomoa kwa vyombo vya sheria, na sheria ina utaratibu wake na mimi ambao najitahid ku comply tuyamalize haya peacefully apate anachotaka
 
Du!! pole sana!! ata mimi napitia hayohayo!!,,ila kama wewe nimeamua kufa ganzi,,,,keshanifanyia kila baya ila mimi nimemwachia MUNGU!!!
 
Umfume, halaf akuletee shida yeye. I say she asked for it. Watoto wanne ni wengi, no guy ata invest kwake, within time, atajirudisha taratibu. Jamaa aombe sana Mungu ampe mwanga nini cha kufanya

Akumbuke, limtokalo hurudi, question is when na ata react vip
 
Ni kweli, najitahid kumsoma ili kuendana nae.
 
Ninasubiri sikubya shauri letu mahakamani, maana imekaribia. Naamini nitamalizana nae vizuri tu.
 
Kweli mkuu, hakuna kiru nimeficha sema ubaya tu story yale ya uoande wa oili yeye kujieleza ndio imekosekana but in my side that is it
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…