Fanton Mahal
JF-Expert Member
- Mar 22, 2024
- 1,597
- 4,661
- Thread starter
- #61
Sijamganda.Mkuu kwani huyo mwanamke umemngangania nini au unataka mpaka akuuwe?
Maana huu ni uzi karibia wa nne kuhusu huyo mwanamke.
Mkuu mkeo anafanya vituko hivyo vyote kwa sababu ana kujua kuwa ww ni mtu dhaifu na uwezo wako wa kufanya maamuzi ni mdogo na kwa maelezo yako inaonekana hata ndani mkeo ndo alikuwa mtawala.
Hii stage mliyo fikia mkeo kukutega sumu au kukukodia kikosi cha wauwaji ni jambo la kawaida endelea kumchekea.
I have been complying na yeye kwa vile anaenda.
Hayupo nyumbani wala siishi nae, mimi si muislam kusema naweza tu toa talaka bila mahakama, haiwezekani, ni lazima hiz stage zooote zipitiwe.
Mahakama haivunji ndoa bila suluhu kuonekana ime fail kwenye hizo hatua zoote za chini.
Watu wanaom.coach wanamuelekeza vizur ndio maana kanioitisha kote huko. Huwez fungua shauri la keai mahakamani bila kupewa form namba 3 na mtendaji wa kata kuonyesha kuwa baraza la kata limeshindwa kusuluhisha mgogoro wa ndoa hivyo inaachia mahakam ifanye maamuzi kwa kuandaa muhtasari maalum.
Kwahiyo sio kwamba ninamng'ang'ania.
Nooo