Etugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 6,514
- 15,247
Majobless mna kauli nzitoNarudia chukua hata kijiko, let that fool go, I am sure she will learn in the hardest way.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Majobless mna kauli nzitoNarudia chukua hata kijiko, let that fool go, I am sure she will learn in the hardest way.
naona unataka watu wakuonee huruma kila mtu akusapoti; haiwezekni wakati kesi yenyewe umekuja upande mmoja; huyo mwanamke sio wazimu akupeleke polisi na hao ndugu zake sio wazimu mpaka wamtetee. Wewe itakuwa umempiga na kumuumiza sana. Uache tabia ya kupiga piga unaona sasa unavyo hangaikaNaomba unisamehe kwa kukutukana wewe ni Fala.
Kitu ambacho hakisumbui maisha yangu ni mwanamkeWewe kaka mpk leo unambembeleza wa nini?.sijakuelewa ujueee
Huwezi kuishi na mwanamke aliekwisha kujaa sumu...
Haupendi maisha yako?
Mwanamke asiyejua kosa na akakiri na kuomba msamaha hakuna ndoa hapo shemeji..
Hapana sina, na sijawahi ugua aina hiyo ya ugonjwaUna ugonjwa wa akili.
Sijawah mpigia kwa miaka 15 ya ndoa tumeishi.naona unataka watu wakuonee huruma kila mtu akusapoti; haiwezekni wakati kesi yenyewe umekuja upande mmoja; huyo mwanamke sio wazimu akupeleke polisi na hao ndugu zake sio wazimu mpaka wamtetee. Wewe itakuwa umempiga na kumuumiza sana. Uache tabia ya kupiga piga unaona sasa unavyo hangaika
Huwazi mara mbili hujampenda au labda ni kimada tuu...mke ana uma..ndo maana kaka anatafuta suluhu..ukumbuke ana familia..lakini kwa trend hii mambo yalipofikia na jitihada alizofanya ni bora akaachana nae..lakini sio kirahisi hivyo unavyosemaKitu ambacho hakisumbui maisha yangu ni mwanamke
Tena akitamka tuachane hata kama namiliki ikulu siwazi mara 2
36 years. Kwangu naweza sema sionkawaida yake, nimekutana na hii scenario kwa mara ya kwanza kwenye maisha yetuSio kawaida yake na ana umri gani?
Bure kabisaaa???Aisee pole Sana .ukishapata talaka njoo uishi kwangu bure
Pole sana mkuu ila huyo ni muuaji kiufupi achana nae kiroho safi mpe hio talaka aende asije akakuua makusudi ili achukue mali be careful mkuu JF bado inakuhitaji36 years. Kwangu naweza sema sionkawaida yake, nimekutana na hii scenario kwa mara ya kwanza kwenye maisha yetu
Kama wewe una umri above 30 basi hiyo shingo inakazi ya kubeba bogaSasa na wewe mambo ya kupiga wanawake ya nini sometimes akipandisha sauti bora uondoke ukakae sehemu hata wiki ndio urudi. Ona sasa unalala hoteli wakati una nyumba yako, si bora ungeenda huko hoteli wakati wa hasira mpaka ziishe?
Inaonyesha ulimpiga sana na usikute sio mara ya kwanza kumpiga.
Acha ndugu zake wamsapoti hata mimi sikubali umpige mtoto wangu kama kakuudhi njoo msemee nyumbani sio kumpiga; ukimuua je?
Haya pole; kama ni kweli unayosema basi muachane tu kwa wema; huko mahakamani weka wakili ili usibanwe sana na mambo ya kesi yani uweze kuendelea na maisha yako.Sijawah mpigia kwa miaka 15 ya ndoa tumeishi.
Nimempeleka hospitali hana hata mchubuko wala uvimbe.
Baada ya vipimo vyoote daktari alimpa paracetalo na dawa ya kuchua.
Sihitahi huruma ya mtu mkuu. Mimi sio mkatili
Boga la yule shangazi yako pale nanjilinji, basi sawaKama wewe una umri above 30 basi hiyo shingo inakazi ya kubeba boga
Shukrani, mahakama ya mwanzo pia mawakili wanaruhusiwa?Haya pole; kama ni kweli unayosema basi muachane tu kwa wema; huko mahakamani weka wakili ili usibanwe sana na mambo ya kesi yani uweze kuendelea na maisha yako.
Ukiweka wakili itakuwa huna ulazima wa wewe uwepo mahakamani mpaka pale wakili atakapokuita, siku za kesi anaenda wakili tu, maisha lazima yaendelee
Ahahahah.Kuna watu mnajua kujilegeza, halafu maamuzi magumu unayozungumzia ni gani? Kikawaida mtu akikuanza unamaliza mtu anadai talaka wewee msamaha unaomba wa nini? Hata kama mtu kalala akaamka akadai talaka why ung'ang'ane achilia mbali kufumania? Hivi haupendi au kuona maisha yalivyo matam hadi unaji super glue kwa mtu ambaye hakutaki? I'm convinced wewe pia ni tatizo.
Shukrani chief. Naamini nitamalizana nae week hiimkuu,usiumie umeshaumia tayari kwakuwa mnawatoto wanne
achana naye ,mpe nafasi afanye atakavyo mwisho wasiku kitaa ushindi ni wako ....yeye atashinda mahakamani wewe utashinda uraiani .....acha afanye kilakitu